saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 99
- Thread starter
- #21
Mawazo mazuri.......................omba mawasiliano,ongea nao kila mmoja,,uone yupi mazungumzo yanakwena naturally! omba kukutana na kila mmoja wao (outing)...yupi unafeel conected naye... kila la kheri!