natafuta mchumba,,,,,

Huyo uliyeoteshwa kwa vyovyote nitakuwa mie baba mtu, ngoja niwasiliane na mama mtu nimweleze kuwa unataka uwe mama mtu mdogo. Lakini je, utaiweza mitala???
 
inawezekana hii bahati yangu taja sifa zako na mimi nikupe, yaani umri wako, elimu yako, na kadhalika ili nikujue kwa undani.
 
Yaani ulivyoshtuka tu na mi nikaendelea kuota....
 
Katika hali kama hii, tafuta mtakatifu yeyote akusaidie kufanya maombi....
 
kha!jamani maskini kumbe uko serious?duh,mchumba anatoka kwa Mungu,subiri atakupa wako simsemehi cheusi but nadhani kasema ni ndoto tu,wachumba wa siku hizi wanapatkana makanisani,kwenye maharusi,misiba,kwa mchongo frm friends,maofisini,mashuleni unlike zamani unatafutiwa na mzee kutokana na historia ya ugonjwa ndani ya familia hiyo au mali walizonazo,jaribu kwenye hizo sehem hapo juu hope utafanikiwa,ol the best,now Gooooooooooo
Are you serious au unatania maana kama nilivyokuona kwenye picha kama ni yako au la unatisha una figa namba nane, nimekupenda uko wapi nitafute kwa namba hii 0719771022 halafu mambo mengine baadae, Ok !
 
Kwa kuwa hauko single naomba umwache uliye naye then ni PM kwa sababu uliyemwona kwenye ndoto ni mimi, nilikuwa kanisani na shati la kitenge na viatu vya four angle then nilivyorudi home nikabadili nguo nikavaa Tshirt na jnsi nikaenda beach.

unafanania kidogo na maono lkn ulivaa raba za pink na t shirt ya maua maua?
 
Huyo uliyeoteshwa kwa vyovyote nitakuwa mie baba mtu, ngoja niwasiliane na mama mtu nimweleze kuwa unataka uwe mama mtu mdogo. Lakini je, utaiweza mitala???

nilipomuonesha 'roho' hii coment yako akanuna, sijui kwa nini.
 
mhh nahisi ungekuwa kama picha ilivyo, ni hatari na ni mzuri ile mbaya tafadhali tuwasiliane !
 
Yaani ulivyoshtuka tu na mi nikaendelea kuota....

niambie ilivyoendelea Kimey, coz roho alivyoniaga akasema sasa naenda kuendelea maono kwa mwenzio.niambie nina hamu ya kujua muendelezo wa maono.
 
roho kaniambia wewe babu utahusika kuhakikisha 'mafataki'hawachakachui maono.
Nadhani mafataki Kimey, Roya, The Finest, Generation Y, Kaizer, Acid,Teamo, Fidel, Bigirita et al wamekusoma vizuri.

Ni babu tu amebakia, ni babu tu kumlea mchumba.

The Following User Says Thank You to cheusimangala For This Useful Post:
Asprin (Today)
 
Nadhani mafataki Kimey, Roya, The Finest, Generation Y, Kaizer, Acid,Teamo, Fidel, Bigirita et al wamekusoma vizuri.

Ni babu tu amebakia, ni babu tu kumlea mchumba.
Babu hebu soma hapa chini.....
niambie ilivyoendelea Kimey, coz roho alivyoniaga akasema sasa naenda kuendelea maono kwa mwenzio.niambie nina hamu ya kujua muendelezo wa maono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…