natafuta mchumba,,,,,

Usikate tamaa jitahid kuwa muwazi na kuwa serious watu wafahamu kwani biashara matangazo
 
you ar finding a.............a, your missing rib! hope wenyew wamekusikia.
 
Ni mimi ulioteshwa ebu ni PM,jamani
 

hahaha, fide tena? hapa msameheni jamani.
cheusi upo wapi, ebu njoo uku!
 
haya maono sometime tabu tupu.kipindi fulani nilipelekwa mpaka kwenye kanisa la chidumule pale kinondoni,kisa jirani yangu kapewa maono mie ndio wake wa milele,na mie kwa tamaa nikaongozana nae mpaka kwa chidumule pale biafra kushoto
kufika huko ikawa sala sala mara simama mara inua mkono mara imeni mara sijui nini aah mi nilitimiza kilinishinda nilipoambiwa nipite mbele kutoa ushuhuda,nikasema BIG NOO,na huyu mchuchu alienipeleka akasema basi kama hupiti mbele sio wewe niliyepewa maono,ah nikasema potelea karibu.
si unajua ukiwa na nyagi mukichwa halafu mambo ya kusimama madhabahuni waweza piga mwereka na ukampokea bwana kikwelikweli wakati ulikua unafanya matani😎😎
 
mm mwenyewe natafuta mchumba ila sijui kama utanikubari kwani huku chini cna kitu kama uko tayari kuvumilia mimi niko tayari
 
Cheusimangala,

Maono yako ni sahihi. Mimi ndiye mwenye sifa hizo. Napatikana saa za asubuhi karibu na Coco Beach.
 
mm mwenyewe natafuta mchumba ila sijui kama utanikubari kwani huku chini cna kitu kama uko tayari kuvumilia mimi niko tayari

huna miguu au,kama ndio uliipotezeje.
hilo sio tatizo kama wewe ndie mteule.
 
Cheusimangala,

Maono yako ni sahihi. Mimi ndiye mwenye sifa hizo. Napatikana saa za asubuhi karibu na Coco Beach.

mie maeneo hayo napatikana nyakati za magharibi,sasa hata cjui tufanyaje ili tutimize lengo.
 
mie maeneo hayo napatikana nyakati za magharibi,sasa hata cjui tufanyaje ili tutimize lengo.

Ukifika saa za magharibi imba wimbo wa 'akanana, akanana kaile kona, akanana, kaile nikeogola.X 5. Alafu chukua mchanga kidogo upake kwenye nyonyo; saa hiyo hiyo mie nitafika katika upepo mkali.

Ukisikia upepo, wewe sema kwa sauti ya chini: Nyegela Ta Kashaijabutege. Nitafika na mfungisha ndoa na tutaenda honeymoon Comoro. Mimi ndugu zangu wanakaa baharini. Mume umepata mama. Mambo yangu sirini ni kama huyu bwana :kev:
 

mbona nywele zinanisisimuka.usije ukawa pepo mwnyeji wa kuzimu,ngoja nifanye kwanza maombi ntakupa jibu.
 
Yoyoooooo....Whatz Up shoreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeyyyyyy😱😱
 
Unamuonaje? Mahari twaweza pata Pick up Toyota Stout au nitarajie mkeka na kinu?

ananifaa kwa viwango vyangu, ila kwa sasa tegemea mkeka na kinu kwanza huku tukimuombea mambo yake yende vizuri coz hana muda mrefu toka apewe msamaha wa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…