Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hawa wenye kazi na wa chuo unakuta washatumika sanaMe Nisha date na demu wa kila level
Aliyeishia chekechea,wa la pil,wa la Saba,wa form four Tena ndo wengi,na wa chuo,na mwenye Ajira kbs....lakini huwezi amini aliyenoga Sana NI huyu wa kuishia la Saba..sijui labda pia huenda kwa kuwa anajua Nina kazi Nina uwezo wa kumwachia hela ya mezani ndo maana kaamua anipende mzima mzima but ishu kubwa wanakuwa wavulimivu Sana na hawanyimi penzi km unavyojua sisi wanaume ukilala na mwali lzima TU usiku idinde..aliyesoma yeye akiwa siku zake hakupi ila mdogo mdogo huyu wa la Saba fresh unavaa zako condom unapiga Cha chap mnaoga analala..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu wana dharau na ndio mafeminist wa kubwa sana utashangaa hata kupika hataki anakwambia tukanunue mgahawani amechoka
Inshort wanaringa sana na ndio wanajiona wapo kwenye soko
Ila demu ukishamzidi kila kitu heshima inakuja automatically bila ubishi
Kwa huyo bi dada ndege john umeotea ukimfungulia na kibiashara ndio atakuwa hasikii ambiwi chochote kuhusu wewe atakuona Mungu mtu