Natafuta mdada pikapakua

Natafuta mdada pikapakua

Nlidhan nshaona yote[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jeshi langu Zero IQ njoo mpe madini mdogo wako kapata boom anataka wakumsindikiza kulitumbua

Ila dogo nakushauri tumia vizur boom litaisha vby
 
Nina 25 age, nimepanga nina kila kitu ndani kwanzia sofa, tv tena DStv, nyumba ni self tena ina tiles ila sijakamilika kitu kimoja sina manzi au demu wa kuishi nae humo ndani…

Hivyo basi Kama una dada au mdogo age yake chini ya 22,mweupe ana sura nzuri karibu inbox.

Mara nyingi huwa nachagua sana na mimi huwa napenda mwanamke kidogo elimu ipo,nilikuwa na demu hata ngeli ya kimahaba hana so kama kuna msichana mwenye vigezo hivyo karibu.

Dogo ungekuwa unamiliki mjengo wa maana, usafiri wa uhakika, biashara na vijisenti vya mboga kama sisi baba zako, naamini ungesumbua sana mtaani.
 
Mkuu Kama uno serious kweli nataka nikupatie mtoto wa kimakonde au kimwera ambaye licha ya kukupikia kila siku na kukufulia pia atakuwa anakupa mapenzi mengi mpk uchanganyikiwe...mchawi pesa ya barua TU 50000,kanga ya mama mkwe na mazaga zaga kidogo Kama zawadi na wewe utambulike kwao Basi Tena wengi waislam atabadili kuja KWAKO Kama we mgalatia..week hiohio mnaanza maisha nakutafutia bonge ya pc huko rondo kwa kina bernad membe Kama uko serious njoo PM.nilikuwa na shida Kama yako Nika isolve vzr tu.
Mna muda gani na shemeji wa huko kusini?
 
Back
Top Bottom