McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,070
- 12,596
ila pia inawezekana ni udomo zege......unatongozea nyuma ya keyboard..kwann asitafute mmoja wa hapo kitaani kwake mbona atampata kwasababu hela si anazo!!Hahahaa. Kama ni kweli hajajua kuwaza mbali.
Akaaaaaaa. Subiri waje wenye uhitaji Mkuu.Njoo tuzitengeze basi.
Hahahaa. Kwa upande mwingine huenda ikawa aisee.ila pia inawezekana ni udomo zege......unatongozea nyuma ya keyboard..kwann asitafute mmoja wa hapo kitaani kwake mbona atampata kwasababu hela si anazo!!
leo alihamdulillah dadaMiss u too mumy. Vp hali yako?
We hauzihitaji?Akaaaaaaa. Subiri waje wenye uhitaji Mkuu.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ni jambo la kumshukuru Allah kama uzima umepatikana.leo alihamdulillah dada
Ndio Mkuu.We hauzihitaji?
Basi nije nikuchune wewe kama za kwangu huzihitaji.Ndio Mkuu.
Kwani Mkuu nimekwambia nataka kuchunwa wacha kunionea basi bana.Basi nije nikuchune wewe kama za kwangu huzihitaji.
Nimetoa fursa ya kuchunwa bado mnanigandamiza, yaani hamna wema hata kidogo.Kwani Mkuu nimekwambia nataka kuchunwa wacha kunionea basi bana.
Changamkia fursa mremboUlete mrejesho kama maombi yamekuzidia inawezekana tuona povu kumbe pm kumejaa
Ni mwanaume huyu ni mpambe wangu.Changamkia fursa mrembo
Mmmh aiseee mi dume la mbegu mkuuChangamkia fursa mrembo
afu kweli..[emoji23]Ulete mrejesho kama maombi yamekuzidia inawezekana tuona povu kumbe pm kumejaa
Pole sana. Teh teh tehNimetoa fursa ya kuchunwa bado mnanigandamiza, yaani hamna wema hata kidogo.
Huwajui wazazi wangu ndo maana ukaongea hivi...nawahudumia kila leo na wanashukuru kupata mtoto kama mimi.Wazazi wako wanakufa na ufukara wewe unakuja kuandika upuuzi humu nakushauri tu saidia wazazi wako bro they are suffering emptyness
HahahaMkuu kwa uzi wako wa jana naona wamegoma kuja pm naona imebidi utangaze dau kabisa!