Natafuta mdada wa kunichuna wa hapa JamiiForums

Natafuta mdada wa kunichuna wa hapa JamiiForums

Habari za asubuhi wapendwa wangu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Wengi wetu tunalalamikia kukaza kwa vyuma, ni kweli vimekaza lakini mbona akijitokeza mtu alainishe japo kidogo hamtaki?

Sidhani yasemwayo kama ni kweli...haya ambaye yuko tayari aje tuvilegeze ili siku ziende mbele.
Bajet ni laki mbili na hamsini ya kunywa, kula na kulala.

Hakuna haja ya mahoteli maana utashindwa kupata ya kwenda kunywa chai asubuhi.
Karibuni kwa yule ambae atakua tayari pm ipo wazi sitanii.
Njoo Germany nikuchune na vihela vyako
 
Back
Top Bottom