Beatus Alex
Member
- Jul 26, 2016
- 43
- 33
- Thread starter
-
- #21
Yes, ikibidi tuwe pamoja katika utendaji kazi kama mkurugenzi wangu.[emoji120]Kwa maneno mengine unataka ukopeshwe ili ufungue biashara ya kukopesha.
Hahah, sawa mkuuHongera mkuu, ukipata mfadhili wa kuweka hiyo pesa kuanzia 20M kama sheria inavyotaka, mtanipa kazi ya usajili wa kampuni na ufuatiliaji wa kibali cha BoT.
Nitafanya hayo kwa gharama rahisi kabisa.
0755963775 WhatsApp
Sawa Kaka, [emoji120]Ni wazi zuri Sana.Tengeneza mchanganuo mzuri mtaji sio tatizo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Soma vizuri mkuu, sijataka kumiliki nimeitaji mwekezaji wa kusupport idea yangu, mmiliki anaweza kua mwingine tu kama mkurugenzi.Muweka mada wewe vigezo vya kumiliki microfinance huna.
Kigezo kimoja wapo lazima uwe na degree ya kwanza ya mambo ya fedha au uchumi, wewe una diploma.
Either urudi shule au uajiriwe tu lakini huwezi kuwa shareholder wa microfinance company.
Muweka mada wewe vigezo vya kumiliki microfinance huna.
Kigezo kimoja wapo lazima uwe na degree ya kwanza ya mambo ya fedha au uchumi, wewe una diploma.
Either urudi shule au uajiriwe tu lakini huwezi kuwa shareholder wa microfinance company.
Soma vizuri mkuu, sijataka kumiliki nimeitaji mwekezaji wa kusupport idea yangu, mmiliki anaweza kua mwingine tu kama mkurugenzi.
Asante.
Hongera bwana hr.Ohhhh bwana mkubwa umetaga maziziwa ya bata. Hakuna kigezo cha elimu ili kumiliki micro credit ila kuna kigezo cha elimu kwa waajiriwa chakwanza tayari sifa anayo kwani ni mhasibu ngani ya diploma. Mimi ni HR na nimeifanya hio kazi na naijua vizuri Ko usilete matango pori hapa
Wazazi wako walifungua microfinance miaka hiyo kabla MICROFINANCE ACT haijapitishwa.Brother kwa level ya elimu yako, microfinance yoyote unasifa ya kuiendesha na kuimiliki pia kwani unacho kigezo cha elimu ss wazazi la nne na wanamiliki Matawi 6 nchi hii iwe wewe msomi
Usajili wa iyo Micro credit na Kibali cha BOT gharama zake zikoje?!Hongera mkuu, ukipata mfadhili wa kuweka hiyo pesa kuanzia 20M kama sheria inavyotaka, mtanipa kazi ya usajili wa kampuni na ufuatiliaji wa kibali cha BoT.
Nitafanya hayo kwa gharama rahisi kabisa.
0755963775 WhatsApp
Wazazi wako walifungua microfinance miaka hiyo kabla MICROFINANCE ACT haijapitishwa.
BOT wakawa fair kabisa, wakawaruhusu kuomba leseni mpya na kubadili baadhi ya vitu ili waende sawa lakini haimaanishi kuwa sasa hivi mwenye elimu chini ya degree anaweza kuomba leseni BOT ykuendesha microfinace akapata.
Nakiri BRELA anaweza kusajili, ili kuhusu BOT licence asahau.
Gharama za usajili wa kampuni BRELA zinatofautiana kutokana na kiasi cha mtaji utakachotaja;Usajili wa iyo Micro credit na Kibali cha BOT gharama zake zikoje?!
Mkuu hiki unachosema SIO KWELI nimesajili na nimepata leseni ya BoT hapo wiki mbili zilizopita. Wamiliki wa kampuni mmoja daktari na meingine mkewe ana diploma ya ualimu. Hii labda kwako tu imekupata. Labda hilo suala liwe limeanza wiki iliyopita.Wazazi wako walifungua microfinance miaka hiyo kabla MICROFINANCE ACT haijapitishwa.
BOT wakawa fair kabisa, wakawaruhusu kuomba leseni mpya na kubadili baadhi ya vitu ili waende sawa lakini haimaanishi kuwa sasa hivi mwenye elimu chini ya degree anaweza kuomba leseni BOT ykuendesha microfinace akapata.
Nakiri BRELA anaweza kusajili, ili kuhusu BOT licence asahau.
Mkuu hiki unachosema SIO KWELI nimesajili na nimepata leseni ya BoT hapo wiki mbili zilizopita. Wamiliki wa kampuni mmoja daktari na meingine mkewe ana diploma ya ualimu. Hii labda kwako tu imekupata. Labda hilo suala liwe limeanza wiki iliyopita.
Huwa navutiwa na hii business,vp naweza kupata mwanga kidogo mkuu..mfano kwa mtaji wa 50mil,kwa mwezi unaweza kupata faida kias gnBola nyie madaktari na diploma za ualimu. Sisi Cv za wazazi ni darasa la nne na experience kibao kwene lending history
Asante sana Kaka, mungu akubarikiBrother kwa level ya elimu yako, microfinance yoyote unasifa ya kuiendesha na kuimiliki pia kwani unacho kigezo cha elimu ss wazazi la nne na wanamiliki Matawi 6 nchi hii iwe wewe msomi
Nicheki tujuzane zaidi kuanzia uendeshaji paka faida zake. 0628667612Huwa navutiwa na hii business,vp naweza kupata mwanga kidogo mkuu..mfano kwa mtaji wa 50mil,kwa mwezi unaweza kupata faida kias gn
Sawa kaka, mungu akijalia tutakutafuta [emoji16][emoji120]Gharama za usajili wa kampuni BRELA zinatofautiana kutokana na kiasi cha mtaji utakachotaja;
20k - 1M ada TSHS 167,200 /=
1M hadi 5M adaTSHS 247,200 /=
5M hadi 20M= ada TSHS 332,200/=
20M hadi 50M ada TSHS 362,200/=
- More than Tshs. 50,000,000/= ada TSHS 512,200 /=
Lakini kwa upande wa BoT gharama zao za leseni ni TSh 500,000/-
Mimi gharama za kusajili kampuni yaani kuandaa memart, filing na ufuatiliaji wa karibu kuhakikisha kampuni inasajiliwa kwa haraka ndani ya siku 3 utanipa 500,000/- tu.
Kuhusu BoT tutaelewana tu
0755963775 WhatsApp/calls
Hakika Kaka, na uhakika wa 100% elimu sio ki kwanzo katika umiliki wa kampuni.Mkuu hiki unachosema SIO KWELI nimesajili na nimepata leseni ya BoT hapo wiki mbili zilizopita. Wamiliki wa kampuni mmoja daktari na meingine mkewe ana diploma ya ualimu. Hii labda kwako tu imekupata. Labda hilo suala liwe limeanza wiki iliyopita.
Mi nilifungua ikanishindaHakika Kaka, na uhakika wa 100% elimu sio ki kwanzo katika umiliki wa kampuni.
Hii uliipata wapi mkuu Mimi mzee wangu anafanya hizi mambo ana Degree ya M.D otherwise ni sheria kuwa kwenye account walau uwe na amount kuanzia 30mil pia usiwe na mkopo wa kuadaiwa na uoneshe pesa yako umeipataje hapo ni katika harakati za kusajiliwaMuweka mada wewe vigezo vya kumiliki microfinance huna.
Kigezo kimoja wapo lazima uwe na degree ya kwanza ya mambo ya fedha au uchumi, wewe una diploma.
Either urudi shule au uajiriwe tu lakini huwezi kuwa shareholder wa microfinance company.