Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

Hongera mkuu, ukipata mfadhili wa kuweka hiyo pesa kuanzia 20M kama sheria inavyotaka, mtanipa kazi ya usajili wa kampuni na ufuatiliaji wa kibali cha BoT.
Nitafanya hayo kwa gharama rahisi kabisa.

0755963775 WhatsApp
Hahah, sawa mkuu
 
Muweka mada wewe vigezo vya kumiliki microfinance huna.
Kigezo kimoja wapo lazima uwe na degree ya kwanza ya mambo ya fedha au uchumi, wewe una diploma.
Either urudi shule au uajiriwe tu lakini huwezi kuwa shareholder wa microfinance company.
Soma vizuri mkuu, sijataka kumiliki nimeitaji mwekezaji wa kusupport idea yangu, mmiliki anaweza kua mwingine tu kama mkurugenzi.
Asante.
 
Ohhhh bwana mkubwa umetaga maziziwa ya bata. Hakuna kigezo cha elimu ili kumiliki micro credit ila kuna kigezo cha elimu kwa waajiriwa chakwanza tayari sifa anayo kwani ni mhasibu ngani ya diploma. Mimi ni HR na nimeifanya hio kazi na naijua vizuri Ko usilete matango pori hapa
 
Brother kwa level ya elimu yako, microfinance yoyote unasifa ya kuiendesha na kuimiliki pia kwani unacho kigezo cha elimu ss wazazi la nne na wanamiliki Matawi 6 nchi hii iwe wewe msomi
 
Hongera bwana hr.
Nimesema ninachokijua na ambacho nina uhakika nacho 100%.
 
Brother kwa level ya elimu yako, microfinance yoyote unasifa ya kuiendesha na kuimiliki pia kwani unacho kigezo cha elimu ss wazazi la nne na wanamiliki Matawi 6 nchi hii iwe wewe msomi
Wazazi wako walifungua microfinance miaka hiyo kabla MICROFINANCE ACT haijapitishwa.
BOT wakawa fair kabisa, wakawaruhusu kuomba leseni mpya na kubadili baadhi ya vitu ili waende sawa lakini haimaanishi kuwa sasa hivi mwenye elimu chini ya degree anaweza kuomba leseni BOT ykuendesha microfinace akapata.

Nakiri BRELA anaweza kusajili, ili kuhusu BOT licence asahau.
 
Hongera mkuu, ukipata mfadhili wa kuweka hiyo pesa kuanzia 20M kama sheria inavyotaka, mtanipa kazi ya usajili wa kampuni na ufuatiliaji wa kibali cha BoT.
Nitafanya hayo kwa gharama rahisi kabisa.

0755963775 WhatsApp
Usajili wa iyo Micro credit na Kibali cha BOT gharama zake zikoje?!
 
Wazazi wako walifungua microfinance miaka hiyo kabla MICROFINANCE ACT haijapitishwa.
BOT wakawa fair kabisa, wakawaruhusu kuomba leseni mpya na kubadili baadhi ya vitu ili waende sawa lakini haimaanishi kuwa sasa hivi mwenye elimu chini ya degree anaweza kuomba leseni BOT ykuendesha microfinace akapata.

Nakiri BRELA anaweza kusajili, ili kuhusu BOT licence asahau.

Wazazi hawana hizo mnazoziita degree na matawi mapya matatu yapo mbioni kufunguliwa. Watu karibuni wanne wakulima wene mafao ya kutosha na elimu hawana nimewasaidia na wamefungua.
 
Usajili wa iyo Micro credit na Kibali cha BOT gharama zake zikoje?!
Gharama za usajili wa kampuni BRELA zinatofautiana kutokana na kiasi cha mtaji utakachotaja;
20k - 1M ada TSHS 167,200 /=
1M hadi 5M adaTSHS 247,200 /=
5M hadi 20M= ada TSHS 332,200/=
20M hadi 50M ada TSHS 362,200/=
- More than Tshs. 50,000,000/= ada TSHS 512,200 /=

Lakini kwa upande wa BoT gharama zao za leseni ni TSh 500,000/-

Mimi gharama za kusajili kampuni yaani kuandaa memart, filing na ufuatiliaji wa karibu kuhakikisha kampuni inasajiliwa kwa haraka ndani ya siku 3 utanipa 500,000/- tu.
Kuhusu BoT tutaelewana tu

0755963775 WhatsApp/calls
 
Wazazi wako walifungua microfinance miaka hiyo kabla MICROFINANCE ACT haijapitishwa.
BOT wakawa fair kabisa, wakawaruhusu kuomba leseni mpya na kubadili baadhi ya vitu ili waende sawa lakini haimaanishi kuwa sasa hivi mwenye elimu chini ya degree anaweza kuomba leseni BOT ykuendesha microfinace akapata.

Nakiri BRELA anaweza kusajili, ili kuhusu BOT licence asahau.
Mkuu hiki unachosema SIO KWELI nimesajili na nimepata leseni ya BoT hapo wiki mbili zilizopita. Wamiliki wa kampuni mmoja daktari na meingine mkewe ana diploma ya ualimu. Hii labda kwako tu imekupata. Labda hilo suala liwe limeanza wiki iliyopita.
 
Bola nyie madaktari na diploma za ualimu. Sisi Cv za wazazi ni darasa la nne na experience kibao kwene lending history
 
Brother kwa level ya elimu yako, microfinance yoyote unasifa ya kuiendesha na kuimiliki pia kwani unacho kigezo cha elimu ss wazazi la nne na wanamiliki Matawi 6 nchi hii iwe wewe msomi
Asante sana Kaka, mungu akubariki
 
Huwa navutiwa na hii business,vp naweza kupata mwanga kidogo mkuu..mfano kwa mtaji wa 50mil,kwa mwezi unaweza kupata faida kias gn
Nicheki tujuzane zaidi kuanzia uendeshaji paka faida zake. 0628667612
 
Gharama za usajili wa kampuni BRELA zinatofautiana kutokana na kiasi cha mtaji utakachotaja;
20k - 1M ada TSHS 167,200 /=
1M hadi 5M adaTSHS 247,200 /=
5M hadi 20M= ada TSHS 332,200/=
20M hadi 50M ada TSHS 362,200/=
- More than Tshs. 50,000,000/= ada TSHS 512,200 /=

Lakini kwa upande wa BoT gharama zao za leseni ni TSh 500,000/-

Mimi gharama za kusajili kampuni yaani kuandaa memart, filing na ufuatiliaji wa karibu kuhakikisha kampuni inasajiliwa kwa haraka ndani ya siku 3 utanipa 500,000/- tu.
Kuhusu BoT tutaelewana tu

0755963775 WhatsApp/calls
Sawa kaka, mungu akijalia tutakutafuta [emoji16][emoji120]
 
Mkuu hiki unachosema SIO KWELI nimesajili na nimepata leseni ya BoT hapo wiki mbili zilizopita. Wamiliki wa kampuni mmoja daktari na meingine mkewe ana diploma ya ualimu. Hii labda kwako tu imekupata. Labda hilo suala liwe limeanza wiki iliyopita.
Hakika Kaka, na uhakika wa 100% elimu sio ki kwanzo katika umiliki wa kampuni.
 
Muweka mada wewe vigezo vya kumiliki microfinance huna.
Kigezo kimoja wapo lazima uwe na degree ya kwanza ya mambo ya fedha au uchumi, wewe una diploma.
Either urudi shule au uajiriwe tu lakini huwezi kuwa shareholder wa microfinance company.
Hii uliipata wapi mkuu Mimi mzee wangu anafanya hizi mambo ana Degree ya M.D otherwise ni sheria kuwa kwenye account walau uwe na amount kuanzia 30mil pia usiwe na mkopo wa kuadaiwa na uoneshe pesa yako umeipataje hapo ni katika harakati za kusajiliwa

Na atakaetaka anifuate nimpe no ya mzee PM maana hapa siwezi kuweka ninajua nae ni mwanachama wa JF miaka mingi so hanijui natumia IG gani namimi sijui yy anatumia IG gani ila ukitaka nitakupa namba na ukimpgia mwambie nimepewa na mwanao hii namba ili unipe uzoefu najua atakusaidia ni MTU poa sana kikubwa usimtajia IG yangu ya JF hata akijua umepewa JF ila asijue ni IG gani over
 
Back
Top Bottom