natafuta mfadhil wa kunisomesha

natafuta mfadhil wa kunisomesha

Baso

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
34
Reaction score
9
Mm ni kijana wa miaka 22,nimemaliza 4m 6 mwaka huu,ila matokeo co mazur,ila napenda nisomee udaktali.
 
Matokeo yako yakoje? na umesoma combination gani? 4m6
 
Mi natafuta wa primary ambaye hana wazazi,,,coz nami nilipoteza tegemeo nikiwa mdogo now nataa kulipa fadhila
 
nilisoma pcb,matokeo mabaya,na nina mzaz mmoja 2.
 
Mi natafuta wa primary ambaye hana wazazi,,,coz nami nilipoteza tegemeo nikiwa mdogo now nataa kulipa fadhila

Mm nko primary lkn nataka nisome masters kwanza nipe deal.
 
we si umepost ishu yako leo kuwa unatafuta jimama la kukulea? au sio wewe? sasa mfadhili si awe tu huyo jimama lako unalolitafuta? dogo hujatulia usifikiri tunasau kuwa ni wewewewe umesema hapa unatafuta jimama la kukulea ulipe mapenzi ya kweli..sasa shule utaweza? tafakari!
Mm ni kijana wa miaka 22,nimemaliza 4m 6 mwaka huu,ila matokeo co mazur,ila napenda nisomee udaktali.
 
Pumb-av-u ama mj-inga sana we kijana kama hiyo tuhuma ni ya kweli

we si umepost ishu yako leo kuwa unatafuta jimama la kukulea? au sio wewe? sasa mfadhili si awe tu huyo jimama lako unalolitafuta? dogo hujatulia usifikiri tunasau kuwa ni wewewewe umesema hapa unatafuta jimama la kukulea ulipe mapenzi ya kweli..sasa shule utaweza? tafakari!
 
ni ukweli mkuu wewe ingia kwenye search hapo juu itafute io topic yake ameandika 'natafuta jimama linilee' tena leo leo! dogo kaniudhi!
Pumb-av-u ama mj-inga sana we kijana kama hiyo tuhuma ni ya kweli
 
mimi naomba mwenye uwezo amsaidie ili kumwepusha na mambo kama yale ya kutafuta jimama kwani anaweza akawa amekata tamaa ndo maana anafikia maamuzi kama hayo.
 
Back
Top Bottom