Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi natafuta wa primary ambaye hana wazazi,,,coz nami nilipoteza tegemeo nikiwa mdogo now nataa kulipa fadhila
nilisoma pcb,matokeo mabaya,na nina mzaz mmoja 2.
Mm ni kijana wa miaka 22,nimemaliza 4m 6 mwaka huu,ila matokeo co mazur,ila napenda nisomee udaktali.
we si umepost ishu yako leo kuwa unatafuta jimama la kukulea? au sio wewe? sasa mfadhili si awe tu huyo jimama lako unalolitafuta? dogo hujatulia usifikiri tunasau kuwa ni wewewewe umesema hapa unatafuta jimama la kukulea ulipe mapenzi ya kweli..sasa shule utaweza? tafakari!
Mim ni kijana wa miaka 22,nipo dar,nataka linilee na nitamuonyesha mapenz ya kwel.
Pumb-av-u ama mj-inga sana we kijana kama hiyo tuhuma ni ya kweli
ni ukweli mkuu wewe ingia kwenye search hapo juu itafute io topic yake ameandika 'natafuta jimama linilee' tena leo leo! dogo kaniudhi!
msaidie yule mtoto yatima aliyechomwa na shangazi yake ikapelekea jana amekatwa mkoni huyu hapaMi natafuta wa primary ambaye hana wazazi,,,coz nami nilipoteza tegemeo nikiwa mdogo now nataa kulipa fadhila