Debryune 17
Member
- Mar 29, 2020
- 5
- 1
Anza kwenye ndondo kipaji hakijifichiNaitwa YUSUPH JOHN nina miaka 20 nina kipaji na ndoto ya mpira natafuta mfadhiri na pia timu please nisaidien mm ni maskini please please naangaika sana kutafuta timu nipo gongo la mboto nacheza eneo la attachking middlefielder
kuna kipindi Singida United walialika vijana wenye kipaji cha mpira waende kufanyiwa majaribio ili wasajiliwe, ungejaribu kuwata sikupat taarifa kaka
Vp kaka unaeza nisaidia???Naitwa YUSUPH JOHN. Nina miaka 20 nina kipaji na ndoto ya mpira natafuta mfadhili na pia timu.
Please nisaidieni; mm ni maskini please please. Nahangaika sana kutafuta timu nipo Gongo la Mboto nacheza eneo la attacking mid-fielder.
Namba zangu ni 0624910904Niko hapa Mr Bonifasi Mkwasa. Kwanza samahanini sana kwa zile goli saba. Utachukua nafasi ya Samatta. Tuwasiliane
Sent using Jamii Forums mobile app
Pp kaka