Natafuta mfadhili na timu ya kuchezea soka, nina kipaji

Natafuta mfadhili na timu ya kuchezea soka, nina kipaji

Debryune 17

Member
Joined
Mar 29, 2020
Posts
5
Reaction score
1
Naitwa YUSUPH JOHN. Nina miaka 20 nina kipaji na ndoto ya mpira natafuta mfadhili na pia timu.

Please nisaidieni; mm ni maskini please please. Nahangaika sana kutafuta timu nipo Gongo la Mboto nacheza eneo la attacking mid-fielder.
 
kuna kipindi Singida United walialika vijana wenye kipaji cha mpira waende kufanyiwa majaribio ili wasajiliwe, ungejaribu kuwatafuta.
 
Naitwa YUSUPH JOHN nina miaka 20 nina kipaji na ndoto ya mpira natafuta mfadhiri na pia timu please nisaidien mm ni maskini please please naangaika sana kutafuta timu nipo gongo la mboto nacheza eneo la attachking middlefielder
Anza kwenye ndondo kipaji hakijifichi
 
V
Naitwa YUSUPH JOHN. Nina miaka 20 nina kipaji na ndoto ya mpira natafuta mfadhili na pia timu.

Please nisaidieni; mm ni maskini please please. Nahangaika sana kutafuta timu nipo Gongo la Mboto nacheza eneo la attacking mid-fielder.
Vp kaka unaeza nisaidia???
 
Back
Top Bottom