Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nina millioni mojaWewe una kiasi gani mkononi?
Utalipaje? Na kwa muda gani?
Dhamana itakuwa nini?
Eneo gani la Dsm?
Ulisha pata eneo la kupanga hiyo flem au bado ndoto?
Kama ni mfanyakazi umejipangaje kufanya hiyo kazi?
???????? Maswali bado mengi sana?
bro gani sema ni wewe mwenyewe bwanaupo tiyari kuzaa nae..kweli cipo kiutani..bro angu anasema anataka kuoa mwanamke ambae anajua kuhangaika kutafuta hela kupitia ujasiria malili..yeye yupo serikalini..hivo mda hana na anaamini kazi za kuajiriwa zina mwisho
return yake ni kubwa pia mkuu ,Wazo zuri Ila mbona gharama kubwa sana??[emoji20][emoji20][emoji20]
wewe ndo unaona hivoNatafuta: wazo la biashara (business idea)lako bado ni la kufikirika. Katika hali hiyo huwezi kupata wa kukusaidia kuwekeza. Weka nyama zaidi
Rejea maswali yanayoulizwa na wachangiaji humu JF, ukiweza kuyajibu utapata mfadhili. Mojawapo ni mchanganuo wa marejesho ya uwekezaji (Return on Investment).wewe ndo unaona hivo
karb new member kuna jukwaa la wagen ungeanzia kule kujifunza kupost vitu....
Yule Boss anayejua siku zako yuko wapi ?
karb new member kuna jukwaa la wagen ungeanzia kule kujifunza kupost vitu....
marejeshoheading umesema utamlipa zawad nzur ila content haijataja hyo zawad kwann lakin embu tutajie tujue tunakupaje hyo mil 5
marejesho
ndio mkuu kila kitu kipo vizuriMkuu Miss Natafuta,umeshafanya utafiti walau kidogo juu ya ukubwa wa soko na eneo lako unapotaka kuweka biashara?
Umeshawahi kuifanya hiyo biashara au una uzoefu wowote wa biashara yoyote?