Natafuta mfadhili nitamlipa zawadi nzuri

Natafuta mfadhili nitamlipa zawadi nzuri

Wazo zuri Ila mbona gharama kubwa sana??[emoji20][emoji20][emoji20]
 
kwakuwa una masihara mengi ni vigumu mtu kukuelewa kwakuwa hujaandika kwa kumvutia mtu zaidi zaidi umeweka masihara tupu
 
Wewe una kiasi gani mkononi?
Utalipaje? Na kwa muda gani?
Dhamana itakuwa nini?
Eneo gani la Dsm?
Ulisha pata eneo la kupanga hiyo flem au bado ndoto?
Kama ni mfanyakazi umejipangaje kufanya hiyo kazi?
???????? Maswali bado mengi sana?
mimi nina millioni moja
sina dgamana ndo maana nikasema natafuta mdhamini unajua maana ya sponsor? saluni itakuwa mwenge mkuu,eneo lishapatikana, nitasimamia kwa karibu sina familia kazini natoka hata saa tisa
 
Natafuta: wazo la biashara (business idea)lako bado ni la kufikirika. Katika hali hiyo huwezi kupata wa kukusaidia kuwekeza. Weka nyama zaidi
 
upo tiyari kuzaa nae..kweli cipo kiutani..bro angu anasema anataka kuoa mwanamke ambae anajua kuhangaika kutafuta hela kupitia ujasiria malili..yeye yupo serikalini..hivo mda hana na anaamini kazi za kuajiriwa zina mwisho
bro gani sema ni wewe mwenyewe bwana
 
Advise: Kama unahitaji kuwa mjasiliamali mzuri anza na mtaji mdogo tafuta sehemu zinazoendana na mtaji wako ulivyo anzia huko halafu mtaji utakua taratibu mwisho wa cku biashara itapanuka na kuwa kubwa, hio itakujengea uwezo wa kusimamia biashara yako na kuzidi kuifanya kuwa ya tofauti. Achana na ishu za ili ufanikiwe lazima uwe na mitaji mikubwa au misaada
 
heading umesema utamlipa zawad nzur ila content haijataja hyo zawad kwann lakin embu tutajie tujue tunakupaje hyo mil 5
 
wewe ndo unaona hivo
Rejea maswali yanayoulizwa na wachangiaji humu JF, ukiweza kuyajibu utapata mfadhili. Mojawapo ni mchanganuo wa marejesho ya uwekezaji (Return on Investment).

Wakati wa kuanza biashara ya ndotoni umepitwa kitambo. Biashara inaanzishwa kisayansi, hata marehemu Baba wa Taifa alihasa "Fedha siyo msingi wa Maendeleo"!
 
Mkuu Miss Natafuta,umeshafanya utafiti walau kidogo juu ya ukubwa wa soko na eneo lako unapotaka kuweka biashara?
Umeshawahi kuifanya hiyo biashara au una uzoefu wowote wa biashara yoyote?
ndio mkuu kila kitu kipo vizuri
 
Mama drama a.k.a NATAFUTA katika ubora wake
 
Back
Top Bottom