Natafuta mganga wa kienyeji konki

Huyu Mshana Jr anaangalia wakumsaidia watu wanamfuta kawablock unajua ingekuwa Mungu kampa karma yeye tu yakusaidia watu basi tungekufa mtu unashida kubwa anakuambia ogea chumvi utapata kazi seriously
Tuhuma kubwa sana hii[emoji2827]! Mungu nisaidie maana sina rohombaya kiasi hicho
 
Kwakufupisha tu ili nisiwachoshe__wakuu mm nahitaji connection yasangoma alie kuwa vizury kwenye kila idara (nahitaji mafanikio yakimaisha ) sio pesa yakula nataka nitoboe maisha kabisa (nakukaribisha PM) _
Unaweza kutoa sadaka au unalopoka tu acheni tamaa Kwa kuksaidia kama unataka utajili iringa ndio Kuna waganga wa utajili wengi wamejazana nenda iringa kaulize makanyaga utapata unachokitaka
 
Kama unataka kumuua huyo jamaa njoo pm, ila kama unataka mambo ya kikekike ya mabusha pita kulee.
Lipo jembe langu naliita Putin,
1.unaamua wewe are lini 2. Unaamua afe kifo gani na afie wapi. Watu tushachoka sisi
 
Tuhuma kubwa sana hii[emoji2827]! Mungu nisaidie maana sina rohombaya kiasi hicho
Walahi ushanipaga hadi namba tukaenda whtsupp ila hukuwahi kunipa muongozo muongozo ulionipaga ni kuogea chumvi au tukusreenshort tukuonyeshe fungua pm Yako au nitoe hapa siongeagi uongoo
 
Unajua maana ya imani? Yaani ukiishi na imani ya kweli kwa miaka yote hiyo sidhani kama unaweza kuomba ajira
 
Walahi ushanipaga hadi namba tukaenda whtsupp ila hukuwahi kunipa muongozo muongozo ulionipaga ni kuogea chumvi au tukusreenshort tukuonyeshe fungua pm Yako au nitoe hapa siongeagi uongoo

Sasa mzee baba, wewe ni mwanadamu na unaenda tafuta msaada kwa mwanadamu aliye kama wewe...

Mwenye shida hapo itakuwa ni wewe au Mshana Jr ambaye naye ni mwanadamu kama wewe tu?
 
Walahi ushanipaga hadi namba tukaenda whtsupp ila hukuwahi kunipa muongozo muongozo ulionipaga ni kuogea chumvi au tukusreenshort tukuonyeshe fungua pm Yako au nitoe hapa siongeagi uongoo
Je nilikutoza fedha yoyote? Nilikushauri kwa uwezo wangu wote nje ya matarajio yako.. Sina tatizo hata ukiweka mawasiliano yetu hapa
 
[emoji848][emoji16] JF raha sana at least umenitoa kwenye tuhuma ya utapeli sasa unakuja na ya usanii.. Kwahiyo kwako wewe chumvi sio tiba bali tiba ni matunguli!?
 
Ni Mungu tu na siyo binadamu
 
Ni Mungu tu na siyo binadamu
 
Viongozi wanasiasa huwa wanajua waganga wazuri
 
Sasa mzee baba, wewe ni mwanadamu na unaenda tafuta msaada kwa mwanadamu aliye kama wewe...

Mwenye shida hapo itakuwa ni wewe au Mshana Jr ambaye naye ni mwanadamu kama wewe tu?
Waganga hawapi wenyewe so maisha ya kusema mwenzako anaenda Kwa mwanadamu acha hujawahi kupitia shida
 
Waganga hawapi wenyewe so maisha ya kusema mwenzako anaenda Kwa mwanadamu acha hujawahi kupitia shida

Kupitia shida hakutoi uhalali wa wewe kukosea zaidi...

Huko kwa waganga unaenda kutafuta mikosi na laana tu...
 
Hii dunia ina mambo sana 😳😳😳😳🧐🧐🧐🧐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…