Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Kawaida tu sasa ukitoa hata laki 1 mambo yakaenda kwani Kuna tatizo?Gharama zinakuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida tu sasa ukitoa hata laki 1 mambo yakaenda kwani Kuna tatizo?Gharama zinakuaje
NyehungeSengerema sehemu gani
Za kawaida tu hata laki moja.Gharama zake zikoje mkuu?
Laki ni kubwa sana. Mganga wa kweli anakupa dawa kwanza ukifanikiwa unarudi kulipaZa kawaida tu hata laki moja.
Naomba mawasilianoNyehunge
Ni kweli ila hata mm nimeenda Sana Kwa watu hao ila naona kama nao siku hizi wana mahitaji kwahy inabidi kupewa kitu kidogo.Laki ni kubwa sana. Mganga wa kweli anakupa dawa kwanza ukifanikiwa unarudi kulipa
Salama Kaka, habari za kwako?HUJAMBO KAKA NAOMBA MSAADA TAFADHALI NATESEKA UZI HUU UNA MDA MREFU SASA HAUKUANZA LEO JUZI WALA JANA YANI DAH USISEME HAKUNA UCHAWI SEMA HUJAROGWA KWAKWELI
Salama Kaka, habari za kwako?
Dunia ina mengi ambayo hatuyafahamu, ndiyo maana Wazee walipata kusema tembea
Muombe Mungu atakufanyia wepesi muda mwingine kulalamika, hofu , uoga na kukosa kushukuru lazima utaishia kurogwaYani acha tu hakuchi kwacha tunaishi Bora uzima
Makanyag alishafarikAnaleta mchezo na Neal salt hajui kama inauwezo wa kuondoa maisha ya binadam
Karibu mbeya kama upo serious lakiniPoleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.
Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
Mungu namuomba usiku namchana tafadhali usiiniingilie kwenye uzi huuMuombe Mungu atakufanyia wepesi muda mwingine kulalamika, hofu , uoga na kukosa kushukuru lazima utaishia kurogwa
Asante