Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Mafanikio yapo kwenye hofu ,ili uogopwe na watu wanao kuzunguka lazima uishi na kitu ambacho una kiogopa ,usitegemee auna kitu unacho kiogopa alafu watu wakuogope apana .auwezi kupewa thamani Kama auna kitu unachokipa thamani kile kitu unachokipa thamank ndio kinakufanya na wewe uwe thamani.

Ukishaona mtu anaheshimiwa jua Kuna kitu anakiheshimu ndio kinamfanya aheshimiwe .

Lazima uwe na kitu ili uwe miongoni mwao bila Ivo utachanjwa na kuoga dawa mwaka mzima bila kuona mabadiliko yoyote .

Ukiona watu mambo yao yanaenda Kuna vitu ambavyo wanavoheshimu kuvitii na kuvipa thamani ndio vinawafanya wawe walivyo .
 
- Uchawi upo wa aina tofautitofauti, upo hadi wa kurushiwa. Huu sio lazima utoke kwenye ukoo uliotokea. Na mtu anachotakiwa kufahamu ni kuwa uchawi ni mfumo na mchawi ni mtu anayefanya kazi ndani ya huo mfumo. Na kazi ya mfumo ni kuratibu, na nguvu ya huu mfumo ni uwezo wake wa kuona mbali.

- Ukipambana na mchawi tu pasipo kuondoa mfumo wa uchawi uliopo ni ngumu sana kuona matokeo, ndio maana hata baada ya yule mchawi aliyekuwa anakusumbua kufa, bado unaendelea kupitia yaleyale uliyokuwa unapitia. Ni kweli mchawi kaondoka ila huo mfumo bado unafanya kazi kwako.

- Hadi mchawi aku_attack jua kuna kitu kikubwa ambacho kimo ndani yako, yaani uchawi unalenga uwezo uliomo ndani ya mtu.

- Na uchawi hufanya kazi kwa majira, wanaweza wakakuwekea mtego leo ambao utakunasa hata baada ya miaka kadhaa, na kwa sababu vitu vyako unaona vinaenda vizuri sasa hivi, ni ngumu kujua kuwa kuna mtego ambao umetegewa.
 
Utajiri na mafanikio yapo kwenye usiri akuna mtu yoyote duniani aliyefanikiwa akakuambia jinsi alivyo fanikiwa kwasababu iyo ni Siri yake peke yake mpaka siku anaingia kaburini .na watu wengi wanao danganywa uwa wanajua masharti ndio Siri apana masharti Ni Kama daraja linakuvukisha tu lakini sio kufika unapokwenda,kufika unapokwdnda iyo ndio Siri ilipo apo.kuwa makini ili usidanganywe danganywe .

"Mipango yako iwe giza na isiyoweza kupenyeka kama usiku, na unaposonga, uanguke kama radi."
 
Tunapofurahia mshumaa kwa kutupa mwanga tusisahau kuwa unaendelea kuungua ili kukupa mwanga tunao hitaji Kila mtu anayo beba mwanga kwenye familia Kuna maumivu anapitia .kadri utakavyo taka kuwa na mafanikio makubwa jiandae kwa vingi vya kutoa sadaka vinavyo leta maumivu wakati watu wakusifia awajui Kuna maumivu unavumilia.

2.kazi ya wakala sio kujua namba yako ya Siri kazi ya wakala Ni kuku unganisha tu na namba ya Siri unaweka wewe mtoaji wa pesa iyo. apo ndipo unajua namba yangu ya Siri Ni hi.

Kadri unavyo chelewa kufanya maamuzi ya namna iyo ndivyo utajikuta unafurahia Sasa hivi uku ukijua furaha aita dumu.

Kama Kuna maamuzi ambayo unajua Ni lazima uyafanye ili upate amani ya kudumu ,usiendelee kughairisha yafanye mapema.
 
1737918385924.jpg

#SioKwaUbaya 😭👉🔋 MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOKWENDA KUNUNUA WANAWAKE WANAOJIUZA (DADA POA)
``````````````````````````````````
Soma kwa makini kilichoandikwa acha kukurupuka kuacha comment..kwa ajili ya Elimu.
#msafi16

Mambo haya pengine ni ya aibu na hayasemeki kwa urahisi tena hayafurahishi kusemwa hadharani.

Lakini leo nitayasema kwa uchache kwa nia ya kujenga na wala sikusudii kuhamasisha uzinzi wala biashara hiyo

1. Usiende na nguo ambazo unazitumia katika shughuli zako za uzalishaji, iwe ni kazi ya kuajiriwa au kujiajiri. Na kama utaenda nazo basi ukimaliza usizitumie tena katika shughuli zako hizo

2. Usiende na pesa nyingi ikiwa utaenda katika makazi yao. Kama bei ya kumnunua ni Tsh 5,000 basi nenda na walau 10,000 tu

3. Usifike na kuchagua papo hapo. Bali fika na usimame umbali kidogo utakaokuruhusu kuwaona vizuri na kuchagua umtakae. Usiwakaribie kabla hujachagua ukiwa mbali.

4. Chagua malaya ambaye ngozi yake bado inanuru, pia zingatia umri wake usiwe mdogo sana wala usiwe mkubwa sana.

5. Usimuulize ulize maswali personal, wala usiombe namba zake za simu ikiwa ndio mara yako ya kwanza au ya pili kupata huduma yake.

6. Bila shaka hatakuruhusu kumnyonya romance, labda utoe dau kubwa. Hata uvutiwe naye kwa kiwango kipi, kamwe usikutanishe mdomo wako na wake, wala ulimi wako na wake.

7. Usiwe na vitu vingi na wala usivue suruali yote wakati wa tendo (short time) Na Kama umemchukua kwa full time ili umtumie usiku mzima. Basi asubuhi isikukute naye kahaba huyo. Hakikisha unaondoka kabla jogoo wa asubuhi hajawika au aondoke kabla ya jogoo wa alfajiri hajawika

8. Usimpeleke malaya katika geto au nyumba yako unayoitumia wewe na mkeo, wanao wakuwazaa au ndugu zako.

9. Usimdhulumu malaya malipo yake. Mpe kadiri ya mapatano yenu mlivyoelewana

10. Usitumie ulimi wako kumlamba mahala popote malaya

11. Usionyeshe ubora wa nguvu zako Kwa malaya pindi ufanyapo naye mapenzi. Kwa maana huwezi shindana na kahaba, na wala huwezi onyesha nguvu zako kwake. Utakuja ujifie

12. Usitumie Dawa za kusisimua kuongeza nguvu za kiume au urijali ufanyapo mapenzi na Kahaba.
Huwezi pata sifa popote Kwa kufanya hivyo.
Ni afadhali utumie mbinu hizo kwa mkeo wa ndoa. Utasifiiwa na hakuna atakayekulaumu.

13. Usiogope magonjwa ya zinaa Kama UKIMWI n.k ufanyapo mapenzi na Kahaba isipokuwa ogopa dhambi ya uzinzi unayoifanya.

14. Usikae chini alafu kahaba aje juu yako, bali wewe ndio uwe juu Kwa mitindo yote mtakayoitumia.
Kwa sababu mwanaume ndiye anapaswa kuwa juu. Na Kama kuna mwanamke anayestahili kuwa juu basi ni Mkeo uliyemuoa ukamuacha nyumbani.

15. Utakapofika mshindo, usiache shahawa zako kwenye kondomu kiholela. Ikiwezekana ondoka nazo ukazitupie mbele Kwa mbele, uwa wanazitumia kwenye uganga wa kienyeji kuvutia Watu madukani huku wewe unafirisika hela haikai mfukoni.

16. Usiwekeane ahadi na nadhiri na malaya. Usimuahidi ahadi yoyote kwa maana wengi wao wamejawa na hila za falme za giza

17. Usiguse Jambo lolote nyumbani kwako utakaporudi kabla haujajitakasa.
Usimkumbatie Mkeo, wala watoto wako, wala wajukuu wako utokapo kufanya uzinzi na kahaba

18. Usije ukajisahau ukazaa na malaya ilhali unajua unamke.

19. Usifanye mapenzi na malaya taa zikiwa zimezimwa, kama huna D mbili huwezi kuelewa hapa 😂

20. Usifanye mapenzi na malaya ukiwa haupo timamu kiakili, aidha ukiwa umelewa pombe au kutumia vilevi vingine vinavyoathiri ubongo

21. Kama vile usivyomjua vizuri huyo malaya nawe asikujue vizuri.
Jitahidi kudanganya karibu kila kitu hasa mambo yanayohusu familia yako, na kazi yako.

22. Usiende kununua malaya kama hujiwezi Kwa self-defence na kupigana. Hii itakusaidia Kama itatokea dharura za yeye kukufanyia uhuni kwa kukuuza Kwa ving'asti kwa kukusingizia haujamlipa au umemlipa Pungufu ilhali ulimlipa mlivyokubaliana

23. Kama amekufurahisha Sana unaweza mpa bonus Kwa kuifanya roho yako ijisikie Raha.

24. Ikiwa umenunua malaya kwa Tsh 30,000/= basi hakikisha NYUMBANI siku hiyo umeacha mara mbili ya hiyo

25. Ikiwa utaundiwa zengwe na kukamatwa na huyo kahaba basi suluhisha uwezavyo ishu isifike nyumbani kwa familia yako.

Mwisho usinunue malaya eneo ambalo ni mbali na barabara. Eneo ambalo limejitenga sana usiende kununua, utakuja kunishukuru

Kama hakuna ulazima wa kununua Malaya mwaka huu nakushauri acha kwani sio kitu kizuri kiroho kwani miili yao mingi imebeba laana, mikosi na mabalaa kwa kua wanalala na kitu mtu mwenye kila aina ya changamoto kwa sababu tu ya pesa.
``````````````````````````````````````````
Acha maoni yako soma kwa umakini...
Dogoli kinyamkela @highlight usisahau kunifollow
 
Habari zenu, natumai wote mu wazima wa afya.

Leo kazini kulikuwa na mjadala mkali kuhusu majini na ramli. Kuna mtu amedai ramli au majini yanaweza kutambua mpaka aliyekuibia Mali yako, aliyetembea na mkeo au mchumba wako, hata kama hujaenda nae Kwa mtaalamu.

Nikaona hili nililete JF ili tujifunze Kwa pamoja. Je ni kweli ramli inaweza kupigwa na kujua alichofanya mwenza wako nyuma tena sirini bila kumwambia mpiga ramli chochote?
 
Hili Swali limekosa kabsa majibu hapa jamii forum

Leo kazini kulikuwa na mjadala mkali kuhusu majini na ramli. Kuna mtu amedai ramli au majini yanaweza kutambua mpaka aliyekuibia Mali yako, aliyetembea na mkeo au mchumba wako, hata kama hujaenda nae Kwa mtaalamu.

Nikaona hili nililete JF ili tujifunze Kwa pamoja. Je ni kweli ramli inaweza kupigwa na kujua alichofanya mwenza wako nyuma tena sirini bila kumwambia mpiga ramli chochote?
 
Habari zenu, natumai wote mu wazima wa afya.

Leo kazini kulikuwa na mjadala mkali kuhusu majini na ramli. Kuna mtu amedai ramli au majini yanaweza kutambua mpaka aliyekuibia Mali yako, aliyetembea na mkeo au mchumba wako, hata kama hujaenda nae Kwa mtaalamu.

Nikaona hili nililete JF ili tujifunze Kwa pamoja. Je ni kweli ramli inaweza kupigwa na kujua alichofanya mwenza wako nyuma tena sirini bila kumwambia mpiga ramli chochote?
Inawezekana mkuu, ramli inaenda mbali zaidi ya hapo ni suala la ujuzi wa mpiga ramli tu.
 
Kuvumilia nn kaka then s naskia after hizo dai wanamkata ulimi
 
Kama umechoshwa na ulevi basi chukua jivu la sigara kisha weka kwenye kinywaji pendwa alafu kunywa

🚶Tenda wema nenda zako 🚶

Asili kwanza

1738054953120.jpg
 
Back
Top Bottom