jamani kama kuna waganga wa kusafisha nyota ya mapenzi au kumpata unayemtaka basi wanaweza fanya na vice verse, yaani kumfukuza usiyemtaka.
Nimependwa na babu jinga afu haelewi, nioge dawa gani asinione??
Ananifuata kama mkia, ananijaza shombo tu mie(najua moyo hauna macho) ila kuna 'type' zikianza kukufuata jua ushafulia.
Kajaa kila mahali ofisini kwangu, njiani, mitaani hawezi tu kuja nyumbani kwangu.
Bishanga msaada tafadhali
Kongosho Njoo kwa mtaalamu Young_Master mganga aliyebobea kutoka Ufipa, sumbawanga upate dawa ya kumfukuza huyo usiyempenda.
OMG........!:closed_2:lolest! Kongosho usijaribu aisee kwenda kwa Young_Master yaani utakiona cha mtema kuni. si unakumbuka baada ya kumpa dawa Asprin alipokwenda kwa cacico alianza kukojoa dagaa aisee. mbona aliugua j2 yote alikuwa ndani ni ericB52 alikwenda kumuona na mpaka leo naskia hajaweza kutoka ndani so don't try aisee.
but bi dada umefulia this time hadi vibabu au una display that type of class kiasi kwamba wanakuona saizi yao?
lolest! Kongosho usijaribu aisee kwenda kwa Young_Master yaani utakiona cha mtema kuni. si unakumbuka baada ya kumpa dawa Asprin alipokwenda kwa cacico alianza kukojoa dagaa aisee. mbona aliugua j2 yote alikuwa ndani ni ericB52 alikwenda kumuona na mpaka leo naskia hajaweza kutoka ndani so don't try aisee.
but bi dada umefulia this time hadi vibabu au una display that type of class kiasi kwamba wanakuona saizi yao?
Khaa! we bibie unasemaje?Ha ha ha ha, huyu washamtengua firigisi
Kakauka kama kibua sasa hivi