Natafuta Mganga wa Mapenzi

Natafuta Mganga wa Mapenzi

jamani kama kuna waganga wa kusafisha nyota ya mapenzi au kumpata unayemtaka basi wanaweza fanya na vice verse, yaani kumfukuza usiyemtaka.

Nimependwa na babu jinga afu haelewi, nioge dawa gani asinione??

Ananifuata kama mkia, ananijaza shombo tu mie(najua moyo hauna macho) ila kuna 'type' zikianza kukufuata jua ushafulia.

Kajaa kila mahali ofisini kwangu, njiani, mitaani hawezi tu kuja nyumbani kwangu.

Bishanga msaada tafadhali

ukipata mganga huyo n pm,nami nfanye vice vesa yko,maana kuna dada ananitesa namtaka.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho Njoo kwa mtaalamu Young_Master mganga aliyebobea kutoka Ufipa, sumbawanga upate dawa ya kumfukuza huyo usiyempenda.

lolest! Kongosho usijaribu aisee kwenda kwa Young_Master yaani utakiona cha mtema kuni. si unakumbuka baada ya kumpa dawa Asprin alipokwenda kwa cacico alianza kukojoa dagaa aisee. mbona aliugua j2 yote alikuwa ndani ni ericB52 alikwenda kumuona na mpaka leo naskia hajaweza kutoka ndani so don't try aisee.

but bi dada umefulia this time hadi vibabu au una display that type of class kiasi kwamba wanakuona saizi yao?
 
OMG........!:closed_2:
 
gfsonwin, mmmh siamini kama hujui maini ya ng'ombe mzee ndio yenye madini mengi.

lolest! Kongosho usijaribu aisee kwenda kwa Young_Master yaani utakiona cha mtema kuni. si unakumbuka baada ya kumpa dawa Asprin alipokwenda kwa cacico alianza kukojoa dagaa aisee. mbona aliugua j2 yote alikuwa ndani ni ericB52 alikwenda kumuona na mpaka leo naskia hajaweza kutoka ndani so don't try aisee.

but bi dada umefulia this time hadi vibabu au una display that type of class kiasi kwamba wanakuona saizi yao?
 
Last edited by a moderator:
Bioloji ya daasa la saba inasema, maini yana madini ya chuma tu
Hayana toxic

sasa apo ndo unapochema Kongosho manake inategemea ni madini gani, manake yaweza kuwa madini mengi but toxic ama non toxic sijui weye wataka yepi
 
Ha ha ha ha, huyu washamtengua firigisi
Kakauka kama kibua sasa hivi
Khaa! we bibie unasemaje?

Aliyekauka ni nani? Ningekuwa nimekauka ningeyaweza haya malezi?

DSC_0373.JPG
 
BANGO+LETUUUUUUUUUUUUU.jpg

Back
Top Bottom