jamani kama kuna waganga wa kusafisha nyota ya mapenzi au kumpata unayemtaka basi wanaweza fanya na vice verse, yaani kumfukuza usiyemtaka.
Nimependwa na babu jinga afu haelewi, nioge dawa gani asinione??
Ananifuata kama mkia, ananijaza shombo tu mie(najua moyo hauna macho) ila kuna 'type' zikianza kukufuata jua ushafulia.
Kajaa kila mahali ofisini kwangu, njiani, mitaani hawezi tu kuja nyumbani kwangu.
Bishanga msaada tafadhali
ukipata mganga huyo n pm,nami nfanye vice vesa yko,maana kuna dada ananitesa namtaka.
Last edited by a moderator: