Unachanganyikiwa nini Donn !?? ndo mambo ya pwani kama ulikuwa hujui.. teh tih teh
noahism what the hell is wrong with you? nikikua nitaacha nini?Time ipi nichukue? acha zako, ukikua utayaacha
Am here Dear
Naomaba yafuatayo.
1. Kila ijumaa disco
2. Jumamosi Disco
3. Kila siku jioni Bar
kama upo tayari Ni PM.
Then tufanye taratibu, Lazima nijue hali yako ya kiuchumi na mvuto wa Sura pia.
Nataka nikitoka na wewe niweke heshima mtaani.
I mean if you are not handsome dont disturb yourself!!!
Kila la kheri. Umenikumbusha mchungaji flani alifiwa na mkewe. Akamuoa dada alieachika kwa kutopata watoto. Nadhani mchungaji alikuwa ameridhia kuwa no more kids. Ya Mungu mengi, yule dada alikuja gundulika akiwa na ujauzito wa miezi karibu sita. Ilikuwa shangwe mara mbili. Sina hakika kama yule mumewe wa kwanza aliwahi kubahatisha mtoto!
Ushauri wangu, usitafute mgumba. Tafuta mwanamke asie na plan ya kuwa na watoto zaidi. Kutafuta mgumba inaweza kumaanisha unataka kukwepa majukumu ya kushare responsibility za malezi. Unaweza kupata mwanamke mwenye watoto wawili mkawalea pamoja. Otherwise ningekuwa mimi mgumba ningeamini unataka mtu wa kumuegemea (nisingeweza kutenga hela zangu from malezi ya wanao).
Afu nimeku miss ujue...!!
noahism what the hell is wrong with you? nikikua nitaacha nini?
Mbona unaongea kwa tambo na majigambo?
Am I not suppose to answer this guy?
Am I not allowed to express my feeling?
Just Read my signature and you will know what I think about men.
I can change my attitude too.
I may decide to get married but with no kids
Then I may think otherwise
This may be my only chance
do you understand you young boy?
We unawaza mbali na tofauti na wengine kabisa...safi sana,Tumshukuru Mungu!
madam b upo mpenzi? nimekumis sana
Nina watoto wawili. sitakii kuzaa tena. kwahiyo ninatafuta mwanamke mgumba ambaye nitaanza naye maisha as soon as posible.
Awe tayari kupima HIV. na awe mkristo. hakuna kigezo kingine kama ni shule nitamsomesha mimi
Natanguliza shukrani.
Sitaki kuzaa tena, niko tayari kupima HIV, Mkristo, nahitaji kusoma masters; unijengee kibanda changu ili baadae nisisimangwe kwa kuwa sijakuzalia. uko tayari?