Natafuta Mgumba

Natafuta Mgumba

Unachanganyikiwa nini Donn !?? ndo mambo ya pwani kama ulikuwa hujui.. teh tih teh

teh teh teh... Mi nilishanga madame b alisema hamjui mtoa mada... Mara naona anaitwa cousin.... Hapo sasa
 
Last edited by a moderator:
Time ipi nichukue? acha zako, ukikua utayaacha
noahism what the hell is wrong with you? nikikua nitaacha nini?

Mbona unaongea kwa tambo na majigambo?

Am I not suppose to answer this guy?

Am I not allowed to express my feeling?

Just Read my signature and you will know what I think about men.

I can change my attitude too.

I may decide to get married but with no kids

Then I may think otherwise

This may be my only chance

do you understand you young boy?
 
Last edited by a moderator:
Am here Dear

Naomaba yafuatayo.

1. Kila ijumaa disco
2. Jumamosi Disco
3. Kila siku jioni Bar

kama upo tayari Ni PM.

Then tufanye taratibu, Lazima nijue hali yako ya kiuchumi na mvuto wa Sura pia.

Nataka nikitoka na wewe niweke heshima mtaani.

I mean if you are not handsome dont disturb yourself!!!

Uwiiiii, Naomba niache mama. Sina Bastola kwangu. halafu mimi sio Handsome am not your class. wewe ni wa daraja lingine. Hebu cheki na hawa wasanii wetu wa bongo
 
Kila la kheri. Umenikumbusha mchungaji flani alifiwa na mkewe. Akamuoa dada alieachika kwa kutopata watoto. Nadhani mchungaji alikuwa ameridhia kuwa no more kids. Ya Mungu mengi, yule dada alikuja gundulika akiwa na ujauzito wa miezi karibu sita. Ilikuwa shangwe mara mbili. Sina hakika kama yule mumewe wa kwanza aliwahi kubahatisha mtoto!

Ushauri wangu, usitafute mgumba. Tafuta mwanamke asie na plan ya kuwa na watoto zaidi. Kutafuta mgumba inaweza kumaanisha unataka kukwepa majukumu ya kushare responsibility za malezi. Unaweza kupata mwanamke mwenye watoto wawili mkawalea pamoja. Otherwise ningekuwa mimi mgumba ningeamini unataka mtu wa kumuegemea (nisingeweza kutenga hela zangu from malezi ya wanao).

Kwa hili naomba tukubali kutokubaliana. Familia mchanganyiko ni msalaba wa Baberi. Ukiwa na watoto ukaolewa na mume mwenye watoto mnatengeneza familia tatu. Ile ya mumewe na watoto wako, yako na wako na ya mwisho mtakayopata wote. Hizi familia hata siku moja haziwezi ungana na mbele ya safari zitaparaganyika. Mifano ni mingi. Bora kama ukiwa na watoto olewa na Mume asiye na mtoto mtengeneze familia mbili tu. Hoja ya Kikalelwa ina mashiko
 
noahism what the hell is wrong with you? nikikua nitaacha nini?

Mbona unaongea kwa tambo na majigambo?

Am I not suppose to answer this guy?

Am I not allowed to express my feeling?

Just Read my signature and you will know what I think about men.

I can change my attitude too.

I may decide to get married but with no kids

Then I may think otherwise

This may be my only chance

do you understand you young boy?

kazi kweli kweli yani kumbe mnajuana...
 
Last edited by a moderator:
We unawaza mbali na tofauti na wengine kabisa...safi sana,Tumshukuru Mungu!
 
Nina watoto wawili. sitakii kuzaa tena. kwahiyo ninatafuta mwanamke mgumba ambaye nitaanza naye maisha as soon as posible.

Awe tayari kupima HIV. na awe mkristo. hakuna kigezo kingine kama ni shule nitamsomesha mimi

Natanguliza shukrani.

Sitaki kuzaa tena, niko tayari kupima HIV, Mkristo, nahitaji kusoma masters; unijengee kibanda changu ili baadae nisisimangwe kwa kuwa sijakuzalia. uko tayari?
 
Back
Top Bottom