Nina watoto wawili. sitakii kuzaa tena. kwahiyo ninatafuta mwanamke mgumba ambaye nitaanza naye maisha as soon as posible.
Awe tayari kupima HIV. na awe mkristo. hakuna kigezo kingine kama ni shule nitamsomesha mimi
Natanguliza shukrani.
Kikelekwa , mfano na yeye ana watoto , pia hakuwa na mpango wa kuzaa, bahati mbaya akapata mimba itakuwaje?
No P. itakua ni Bahati Mbaya
duh! wewe ni binadamu gani myenye mawazo yasio na akili na busara.
hapo nakuunga mkono ndugu yangu nani anaependa ugumba ni busala angekata hiyo mirija ya uzazi yeye mwenyewe alafu angetafuta kipozeo sio mbaya.Mkulu...pia waweza fanya vasectomy(kukata mirija ya uzazi) kama hauna haja tena na watoto
Nina watoto wawili. sitakii kuzaa tena. kwahiyo ninatafuta mwanamke mgumba ambaye nitaanza naye maisha as soon as posible.
Awe tayari kupima HIV. na awe mkristo. hakuna kigezo kingine kama ni shule nitamsomesha mimi
Natanguliza shukrani.
Mbona hamrudishi matokeo?
ha ha ha ha nipe muda
utajuaje kama ni mgumba.
Aisee ,wemjanja watamu hainakifani. Nnao kama wawili hivi lakin mmoja kshafika menopause. Naweza kukupasia mmoja.
Mbona hujajibu PM zangu?