Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Madame B niambie jinsi gani wagumba wana angaika kutafuta watoto, na jinsi gani wagumba wanavyo nyanyapaliwa kwenye mafamilia huko/ usifanye mgumba ni chombo cha kuzuia wewe kuzaa tena, twapasa kuwa nao pamoja na kuwaombea pia ili Mungu wetu awasaidie nao wapate watoto, huyu jamaa hato kua na msaada kwa huyo atakae muoa zaidi ya kumtumia, na mwisho wa siku hata kumuacha, angesema anataka mke sio mgumba, miujiza ikatokea kashika mimba? Atamuacha, ? Unategemea nini kama sio kumuacha kama hao alio shindwa kuanzisha nao maisha hao alio zanao?
[MENTION=80055]Madame B[/MENTION] nakuheshimu sana wala sipendi kupingana nawe ila kwa hili bado hajatumia mawazo yenye busara.
Nafahamu sana noahism ni nini unachomaanisha.
Ila ungempinga tu bila kutumia hyo lugha yako.
Maana mpaka mie mwenyewe nimeshtuka.
Ila yeye amerahisisha kbs,
japo najua angesema kuwa anahitaji mwanamke ambae haitaji kuzaa tena au aseme Tasa?
Hapo pa Blue, Na Iwe Hivyo Miaka yote Mpendwa.
Last edited by a moderator: