Natafuta mjasiriamali mwenza

Natafuta mjasiriamali mwenza

tethering

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
331
Reaction score
139
Natafuta mtu wa kufanya nae biashara,yani tufanye ujasiria mali pamoja ,kwa yeyote mwenye fedha lakini hajui awekeze wapi aje na walau laki tano na mimi nitoe tupate milioni moja tuwekeze pamoja ili tupate faida kubwa, pekeangu nimekuwa sipati faida kubwa cause mtaji wangu ni kidogo.

Akitokea Dar es salaam au moro itakuwa vizuri zaidi japo yeyote anakaribishwa na awe jinsi yoyote ili mradi awe commited yani amaanishe sio kubip ili tuweze kipiga vita umaskini.

Aliyeko tayari ani Pm namba ya simu ili tukutane haraka iwezekanavyo tupange mikakati cause tayari nina uzoefu na hiyo biashara. Mwambie na mwingine kama unajua atakuwa hana taarifa juu ya hili.

NB: Umoja ni nguvu utengano ni dhaifu.
 
Ungeuza vizuri hilo wazo, ni biashara gani?,itafanyikaje?n.k
HII ITASAIDIA WADAU KUVUTIKA ZAIDI
 
Mwaga data hapa hapa..aliye tayari anajiunga
 
Mkuu,funguka vizuri na bila shaka wadau watakuelewa!
 
Bila kusema ni biashara gani inakuwa ngumu
 
Back
Top Bottom