Natafuta Mke aliye makini, aliyemaliza mambo yake na si msumbufu

Habari,

Mimi nina umri wa miaka 40, natafuta mke asiezidi miaka 35, dini yoyote, kabila lolote, rangi awe mweupe. PM ipo wazi kwa aliye makini, aliyemaliza mambo yake, siitaji msumbufu uko nishatoka.

Akiwa na biashara au mfanyakazi, au mama wa nyumbani.
Labda usubiri kwanza baada ya ile miaka 1000 tutoke mbinguni. Maana mbinguni hakuna kupa wala kuolewa.
 
Habari,

Mimi nina umri wa miaka 40, natafuta mke asiezidi miaka 35, dini yoyote, kabila lolote, rangi awe mweupe. PM ipo wazi kwa aliye makini, aliyemaliza mambo yake, siitaji msumbufu uko nishatoka.

Akiwa na biashara au mfanyakazi, au mama wa nyumbani.
Tukuoneer kama kweli ni mweusi 😂
 
Back
Top Bottom