Natafuta Mke aliye makini, aliyemaliza mambo yake na si msumbufu

Hap wengi wao ni kuanzia pale 28yrs hadi hiyo 35. Changamoto yao kwa baadhi ya wanaume ni kua tayari wanakua na mtoto/watoto.
 
Habari,

Mimi nina umri wa miaka 40, natafuta mke asiezidi miaka 35, dini yoyote, kabila lolote, rangi awe mweupe. PM ipo wazi kwa aliye makini, aliyemaliza mambo yake, siitaji msumbufu uko nishatoka.

Akiwa na biashara au mfanyakazi, au mama wa nyumbani.
Kuna single mother hapa mkuu. Vipi atakufaa? Ni mweupe peeeee, hakuna haja ya umeme
 
ushapata mke? Maana nimechelewa kuona tangazo😒
 
Habari,

Mimi nina umri wa miaka 40, natafuta mke asiezidi miaka 35, dini yoyote, kabila lolote, rangi awe mweupe. PM ipo wazi kwa aliye makini, aliyemaliza mambo yake, siitaji msumbufu uko nishatoka.

Akiwa na biashara au mfanyakazi, au mama wa nyumbani.
Mtu aliyemaliza mambo yake si maiti hiyo ?
 
aliyemaliza mambo yake na si msumbufu??. Haupo serious wewe.
 
Mtaani umekosa mbona watu wanalia Kila siku Kwa wachungaji au unataka mtu asiwe na mtoto [emoji23] Kwa umri kama huo labda umpatr ambae tasa
 
Yaani umeshindwa kumpata mke mtaani uje umpate Jf

Vijana wa siku hizi mmekuaje Mbona mmelegea hivi aisee
Huwa nakasirikaga Sana na comments za kijinga Kama hizi are you being serious??kwanza wewe sio smart upstairs..why umekuja Love connect??na why unakuwa dream killer????????haya wewe ambaye upo hapa Jf unakaa wapi Kwa taarifa yako wewe mtoto mawazo yako ni mufilisi watu wengi Sasa kutokana na mtindo wa maisha wanapata wachumba online na mambo ya family yanaanza Eti hujawona mtaani Ina maana wewe una AKILI kuliko Melo aliyeamua hili jukwaa liwepo anajua it's possible na Watu wengi wanaoana kupitia hapa au njia zinazofanana na hizi So Kama hapa panakukera au hupaamini Usibonyeze kusoma.
 
Sawa

Samahani kwa kukukwaza mkuu

Ntajitahidi nibadilike

Shukrani
 
Back
Top Bottom