Natafuta Mke aliye makini, aliyemaliza mambo yake na si msumbufu

Natafuta Mke aliye makini, aliyemaliza mambo yake na si msumbufu

Hiv mkiweka adverts kama hiz hizo pm zinajaa kwel??
Maana pm yangu imedorora sana toka memba mmoja humu yule manzi machachar ambaye hakuna deal haijui wala hajfanya alipopotea jukwaani..

Natamani waje wachangamshe ila cjui nakwama wapi na nakwamaje😂😂
 
Back
Top Bottom