Natafuta Mke aliye makini, aliyemaliza mambo yake na si msumbufu

Natafuta Mke aliye makini, aliyemaliza mambo yake na si msumbufu

Habari,

Mimi nina umri wa miaka 40, natafuta mke asiezidi miaka 35, dini yoyote, kabila lolote, rangi awe mweupe. PM ipo wazi kwa aliye makini, aliyemaliza mambo yake, siitaji msumbufu uko nishatoka.

Akiwa na biashara au mfanyakazi, au mama wa nyumbani.

Unatafuta mke mfu? Wa kazi gani sasa? Maana lazima awe marehemu. Hakuna mwanamke aliyemaliza mambo ua uanamke wake, lazima ni marehemu.
 
Back
Top Bottom