Natafuta mke, awe mlevi (apende pombe)

Mmmmh hya wote atakua mnakojoa kitandani aisee...kuna mmoja alikua kalalamika akasema Jf hamna wake eti oon walevi,ooh wanavaa nguo fupi lakin wewe wala ..Mungu akujalie akupe umtakaye
 
Ndugu! Hadi hapo hesabu umeshapata mke! Wewe jisogeze the great park Tabata pale, utawapata wa kila aina. Dah! The great kuna wadada wanapenda pombe sijawahi ona. Yani ndani ya nusu saa mdada anaweza akawa ameshatwanga pombe za elfu hamsini na kidogo....
 
Kwa mara ya kwanza wanawake walevi tumekumbukwa katika ulimwengu wa JF. Shukrani sana mleta hoja, tukutane PM tukayajenge mlevi mwenzangu.
Umefunga PM. so? =
 
Njoo uwanja wa fisi wapo
niliwe na fisi au? hata kama nimelewa ila sio kwa kiwango hicho cha lami, yaani nijipeleke kwa fisi!!. unamjua fisi wewe? simba mwenyewe akimuona anakaa kimya, sio kwamba anamuogopa....anakaa tu kimya.

Pia ushahawahi kumsikia fisi anacheka? huwa anacheka hadi na wewe unacheka. ogopa sana
 
mkuu hongera sana. umenikumbusha kuna kipindi nilikuwa na shusha vyombo sana ika pata demu mpenda dini weee na alinikubalia baada ya kumwambia nitaacha kunywa pombe, alivyo kubali mi nikaliendeleza nime kaa kama mwezi na yeye akaanza kunywaa hadi ananiletea asubuhi. thank nilikuja kupunguza pombe
 
Jiandae kisaikolojia maana hao wanagegedwa kiurahisi sana.
 
Ni swala jema nasikia nabi Tito Yuko huru ngoja tutafute namba yake akusaidie kumtafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…