Natafuta mke, awe mlevi (apende pombe)

Natafuta mke, awe mlevi (apende pombe)

Mmmmh hya wote atakua mnakojoa kitandani aisee...kuna mmoja alikua kalalamika akasema Jf hamna wake eti oon walevi,ooh wanavaa nguo fupi lakin wewe wala ..Mungu akujalie akupe umtakaye
 
Ndugu! Hadi hapo hesabu umeshapata mke! Wewe jisogeze the great park Tabata pale, utawapata wa kila aina. Dah! The great kuna wadada wanapenda pombe sijawahi ona. Yani ndani ya nusu saa mdada anaweza akawa ameshatwanga pombe za elfu hamsini na kidogo....
 
Njoo uwanja wa fisi wapo
niliwe na fisi au? hata kama nimelewa ila sio kwa kiwango hicho cha lami, yaani nijipeleke kwa fisi!!. unamjua fisi wewe? simba mwenyewe akimuona anakaa kimya, sio kwamba anamuogopa....anakaa tu kimya.

Pia ushahawahi kumsikia fisi anacheka? huwa anacheka hadi na wewe unacheka. ogopa sana
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    29.1 KB · Views: 34
mkuu hongera sana. umenikumbusha kuna kipindi nilikuwa na shusha vyombo sana ika pata demu mpenda dini weee na alinikubalia baada ya kumwambia nitaacha kunywa pombe, alivyo kubali mi nikaliendeleza nime kaa kama mwezi na yeye akaanza kunywaa hadi ananiletea asubuhi. thank nilikuja kupunguza pombe
 
Jiandae kisaikolojia maana hao wanagegedwa kiurahisi sana.
 
Hodi humu,

Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.

Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.

Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.

Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Ni swala jema nasikia nabi Tito Yuko huru ngoja tutafute namba yake akusaidie kumtafuta
 
Back
Top Bottom