Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Fursa yako nyauuuWoowww!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fursa yako nyauuuWoowww!!!!
Nyau blue Ww,.we si hutaki pombe[emoji35]Fursa yako nyauuu
Khaaa!Kwa mara ya kwanza wanawake walevi tumekumbukwa katika ulimwengu wa JF. Shukrani sana mleta hoja, tukutane PM tukayajenge mlevi mwenzangu.
Nini? [emoji12] [emoji12]Khaaa!
Vitakuwa vikina jon ulabu,Dah...nawaza vitoto vitakavyo fyatuliwa hapo....nawaza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
Usinywe bhana ThadNini? [emoji12] [emoji12]
Mtakuwa mnakojoa kitandaniHodi humu,
Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.
Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.
Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.
Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ndio unafaa yaniHodi humu,
Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.
Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.
Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.
Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Haya naachaUsinywe bhana Thad
Uache kweli basHaya naacha
Kweli [emoji85] [emoji85] [emoji85]Uache kweli bas
Good girl[emoji4]Kweli [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Huhuhu ndomaana nkakuambia Fursaa iyo mzeee itumie[emoji23]Nyau blue Ww,.we si hutaki pombe[emoji35]
sana sanaaa nakurushia nambaHodi humu,
Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.
Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.
Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.
Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
sijakuona PMKuna mmoja alikimbiwa na mwanajeshi, sababu ya ulevi ni jirani yangu, yeye saa 12 asubuhi hajitambui. Ila anawajali sana watoto wake 2 alioachwa nao. Ni wasafi na watanashati wana afya nzuri sana. Kama upo serious nikupe namba yake