Natafuta mke, awe mlevi (apende pombe)

Natafuta mke, awe mlevi (apende pombe)

Hodi humu,

Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.

Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.

Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.

Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Mtakuwa mnakojoa kitandani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ndio unafaa yani
 
Hao hutafutwa kweli au unatujazia tu jukwaa?

Ukienda baa unawakuta wapo bwerere, na wao mara nyingi ndio hulianzisha "kaka ninunulie moja basi"
 
Kuna mmoja alikimbiwa na mwanajeshi, sababu ya ulevi ni jirani yangu, yeye saa 12 asubuhi hajitambui. Ila anawajali sana watoto wake 2 alioachwa nao. Ni wasafi na watanashati wana afya nzuri sana. Kama upo serious nikupe namba yake
 
Safi
Hodi humu,

Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.

Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.

Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.

Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
sana sanaaa nakurushia namba
 
Kuna mmoja alikimbiwa na mwanajeshi, sababu ya ulevi ni jirani yangu, yeye saa 12 asubuhi hajitambui. Ila anawajali sana watoto wake 2 alioachwa nao. Ni wasafi na watanashati wana afya nzuri sana. Kama upo serious nikupe namba yake
sijakuona PM
 
Back
Top Bottom