Natafuta mke, awe mlevi (apende pombe)

Natafuta mke, awe mlevi (apende pombe)

Hodi humu,

Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.

Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.

Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.

Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Dah...Kama bado hujapata....nipm nikuunge kwa pisi moja Kali...inakunywa Savannah 40 kwa siku..hutajuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Hodi humu,

Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.

Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.

Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.

Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Ngoja nijifunze pombe mkuu Kisha nije pm
 
Dah...nawaza vitoto vitakavyo fyatuliwa hapo....nawaza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hodi humu,

Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.

Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.

Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.

Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Pata mnywa pombe ..mlevi atakusumbua
 
Ndugu! Hadi hapo hesabu umeshapata mke! Wewe jisogeze the great park Tabata pale, utawapata wa kila aina. Dah! The great kuna wadada wanapenda pombe sijawahi ona. Yani ndani ya nusu saa mdada anaweza akawa ameshatwanga pombe za elfu hamsini na kidogo....
Hao ni wanazitamani Mkuu, mpenda pombe huwa yupo slow ila anaenda zakutosha.
 
Back
Top Bottom