Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
- Thread starter
- #81
sijakuona PMSafi
sana sanaaa nakurushia namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijakuona PMSafi
sana sanaaa nakurushia namba
Dah...Kama bado hujapata....nipm nikuunge kwa pisi moja Kali...inakunywa Savannah 40 kwa siku..hutajuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Hodi humu,
Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.
Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.
Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.
Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Ngoja nijifunze pombe mkuu Kisha nije pmHodi humu,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah...nawaza vitoto vitakavyo fyatuliwa hapo....nawaza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
Pata mnywa pombe ..mlevi atakusumbuaHodi humu,
Ndugu zangu, mimi sasa ni rasmi nataka kuoa, nimeangalia sifa ambazo wanaume wenzangu huainisha, naona zimejaa unafiki; unakuta anasema nataka mke wa kuoa awe hivi, awe na kazi, sijui amesoma...kwakweli mimi naomba niseme tu ukweli, kama ni mawe mnipige.
Mimi nataka kuoa, sifa zote za kuwa mume wa mtu nimeshajiandaa, ninazo (makazi, ajira, upendo, kuwa tayari kulea, nk). sasa mbali na kwamba mwanamke ninayemhitaji na yeye awe na sifa k.v. upendo, kujiheshimu, n.k. Mimi nataka pia awe mlevi, yaani apende pombe, huyo naona tutaendana na tutakuwa marafiki wakubwa.
Nitampenda, nitamlinda, nitamhudumia, tukienda kulewa wote ntahakikisha silewi sana ili wote tusipotee njia ya kurudi nyumbani, pia mmoja awahi kuamka kuandaa supu ya kutoa hangover.
Kwa anayemjua dada aliyetayari kuolewa kwa ndoa halali, na anapenda pombe, please niPM.
Hao ni wanazitamani Mkuu, mpenda pombe huwa yupo slow ila anaenda zakutosha.Ndugu! Hadi hapo hesabu umeshapata mke! Wewe jisogeze the great park Tabata pale, utawapata wa kila aina. Dah! The great kuna wadada wanapenda pombe sijawahi ona. Yani ndani ya nusu saa mdada anaweza akawa ameshatwanga pombe za elfu hamsini na kidogo....