Ukabila Tanzania tulishaufuta mkabila mkubwa wewe watu hawaoi kabilaWandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama Kambi Moja kwenda nyingine rasmi nimeamua kuoa ! Nimeamua kuoa sirias kabisa na Sina utani hata kidogo! Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua msukuma ,kwa Sasa sioi kwa sababu ya ngono ila naoa kwa sababu ya maisha ! Mwanamke yeyote awe na watoto ama la akuje! Na pili laxima awe na kazi
Dume tegemezi linatafuta pa kujiegesha lofa hiloUnataka mwanamke au unataka mwanamke aliye na kazi
Wanaume wa dar hawa
Wahaya wapo kibao pale TemekeWandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo!
Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha.
Mwanamke yeyote, awe na watoto ama la akuje, na pili lazima awe na kazi.
Kuwa na kazi sio lazima aajiriwe hata biashara au kilimo ni kazi ,nataka msukuma kwa sababu hawana usumbufu na mhaya Hana mbambambaUkabila Tanzania tulishaufuta mkabila mkubwa wewe watu hawaoi kabila
Pili unaposema lazima awe na kazi kwa hiyo ikitokea kaachishwa kazi kwa sababu yeyote utamuacha
Kwa staili hiyo hupati mke
Tabia ni mtu.mwenyewe sio kabilaKuwa na kazi sio lazima aajiriwe hata biashara au kilimo ni kazi ,nataka msukuma kwa sababu hawana usumbufu na mhaya Hana mbambamba
Kwani wewe una hela? Wenzio akina Bhaktesa wake zao mama wa nyumbani wao ndio wanaingiza hela kupeleka nyumbani wakale wake zaoNdio sitaki golikipa
Temeke Sudan wapo wengi wahayaWandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo!
Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha.
Mwanamke yeyote, awe na watoto ama la akuje, na pili lazima awe na kazi. Mimi Nina miaka 39 ,nimuajiriwa na ni mfanyabiashara ,Nina watoto 2 ni mzaliwa wa mbeya ,kabila langu kama kawaida
Hataki kupata tabu anataka kupata mke 😅Utapata tabu sana kijana