Hakuna ubaya Jombii sema kuna ukakasi chagua lugha moja hapo kaka kabla ya wabobevu hawajafika.
hahahaha, mwanangu unataka mwalimu ili awe collateral? Hahahaja wameamka siku hizi hawataki wabangaizaji wanataka wanaume walio stable, take it easy hatuwezi kuwa serious kwenye kila thread... kwanini mzee usiseme kwanzia atleast 28s -30s mlingane huoni utasumbuka kulea utoto kidogo au maturity kwako sio kesi???
Mwanangu kaza sana, walimu wanataka mwanaume mwenye sifa kama zako, ila jikaze mzee usije uka waangusha watoto za watu.