Natafuta mke bikra

Natafuta mke bikra

Una mwanasheria? Au unaropoka tu!🤔
nifunge tu ujitwalie laana ukose hata huyo mume wa kubahatisha! si hutaki kutusikiliza malaika unatutishia sheria yakanyage...!
 
wewe mwenyewe ulijitunza? umeshawala wat0to wa watu leo unataka bikra. malaya aoe na kuolewa na malaya mwenzake.

cc: Kapeace
 
Habari za majukumu ndugu zangu wote!
Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni BIKRA. Nina sababu zangu nyingi saana, awe na age yoyote japo najua Bikra wengi watakuwa range ya 18-24 hivi, Mimi na 36yrs. Naomba kwa anayejua mikoa ambayo wapo Bikra wengi au anayemfahamu yeyeote Bikra basi anisaidie, ama kama kuna mwenye hiki kigezo hapa naomba njoo PM tufahamiane, pamoja na kigezo cha Bikra lakini awe pia na vigezo vya kuwa mke (wife material) and beautiful 😍 😍!! Yeah beautiful sababu hii ndiyo main key ya kufanya nikupende na Tu enjoyable maisha bila cheating.

Wengi nadhan mtakuwa mmenielewa, kama nitakosa Bikra angalau nipate ambaye hajawa na ma x zaidi ya 2, ( hapa najua mwenyewe namna nitahakukusha)
Bikra ina thamani sana tena sana,ila kwa dunia ya sasa inawezekana husioe kabisa.
 
bikra awe biyutiful? mabikra wengi they dont care kama wamepaka lotion au ananuka kikwapa bora kaoga na sabuni yake ya kipande maisha yanakwenda,
Nimeongea beautiful....... beautiful always ni nature achana na make up au losheni Kwanza😜
 
Bikra ipi labda..

Then.. ukitaka wa hivyo just INVEST hasa akiwa bado sekondari.. nenda kwao kawekeze, msomeshe kwa mkataba maalumu ww na familia yao.

NB; at your own risk
Hii hapana, next years naona! MUNGU akijaalia
 
Habari za majukumu ndugu zangu wote!
Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni BIKRA. Nina sababu zangu nyingi saana, awe na age yoyote japo najua Bikra wengi watakuwa range ya 18-24 hivi, Mimi na 36yrs. Naomba kwa anayejua mikoa ambayo wapo Bikra wengi au anayemfahamu yeyeote Bikra basi anisaidie, ama kama kuna mwenye hiki kigezo hapa naomba njoo PM tufahamiane, pamoja na kigezo cha Bikra lakini awe pia na vigezo vya kuwa mke (wife material) and beautiful 😍 😍!! Yeah beautiful sababu hii ndiyo main key ya kufanya nikupende na Tu enjoyable maisha bila cheating.

Wengi nadhan mtakuwa mmenielewa, kama nitakosa Bikra angalau nipate ambaye hajawa na ma x zaidi ya 2, ( hapa najua mwenyewe namna nitahakukusha)
Haya majina ya akina erick aisee ni changamoto
 
Wanawake wengi sijui niwaite mabibi au kinamama wanao-comment hapa wanadhani kila bint au mwanamke kwenye maisha yake anapita walikopita wao,na sababu hasa ikiwa ni wao kutozingatia maadili ya ukuaji.

Kinadada bikra wapo tena wazuri sana so kama kuna aliyegawa yake kwa wauza chips sijui bodaboda au walimu wa tuition kwenye matuta ya viazi kijijini kwao huyo anapaswa ajue ni yeye na kwamba siyo wote wako hivyo.
 
bikra awe biyutiful? mabikra wengi they dont care kama wamepaka lotion au ananuka kikwapa bora kaoga na sabuni yake ya kipande maisha yanakwenda,
Sio kweli, kama hauna sifa husika usiwasemee mbaya ambao wanayo.

Mimi mpenzi wangu nilimkuta bikira na ni mrembo ambae yupo kwenye peak yake.
 
Back
Top Bottom