Natafuta mke mcha Mungu

Natafuta mke mcha Mungu

arrested

Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
35
Reaction score
8
Habari zenu wana bodi!
Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa ni hicho mengine si muhimu sana kwangu. anicheki kwa 0710231982
AHSANTENI NAWASILISHA
 
Kama ni mke hakika Mungu akawe kiongozi wako ila kama ni utapeli wa mapenzi na liwe jaribu la mwisho kwako...
 
Habari zenu wana bodi!
Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa ni hicho mengine si muhimu sana kwangu. anicheki kwa 0710231982
AHSANTENI NAWASILISHA
Goods & services are available online.... hata wake pia...
 
Kama utampata utupe mrejesho nasisi tuanze kuweka mabandiko yetu hapa hapa.
 
Back
Top Bottom