Natafuta mke mcha Mungu

Natafuta mke mcha Mungu

wanawake wengi nidhamu F
Wengi wanajionaga akiwa na minyama nyama miguun ,makalion, mbavun n.k basi anafaa kua mke.... Alafu kichwan hamna kitu !!.

Hawa wameishia kua wa ajabu !!

Mwanamke yake ni Tabia njema ,staha na nidhamu ilotukuka.
 
Umenena mkuu
 
Habari zenu wana bodi!
Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa ni hicho mengine si muhimu sana kwangu. anicheki kwa 0710231982
AHSANTENI NAWASILISHA
Daaha mabonge kazi [emoji125]
 
Back
Top Bottom