Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
HYO FOLENI YA PM SIPATI PICHA ILIVYOJAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usimuhifadhi,kwa nini wanaotafuta wote wanakuja na id mpya kwa nini wasiwe kama miss natafuta?siku nkiona id kongwe najitosa hizi mpya unaweza kuta kidume kilikuwa kinanfatilia nikamjibu mbovu akamind halafu kakuona pm lazima akamilishe mishe yake kulipiza kisasiBasi mkuu, ngoja nikuhifadhi tu
Duhhh....usimuhifadhi,kwa nini wanaotafuta wote wanakuja na id mpya kwa nini wasiwe kama miss natafuta?siku nkiona id kongwe najitosa hizi mpya unaweza kuta kidume kilikuwa kinanfatilia nikamjibu mbovu akamind halafu kakuona pm lazima akamilishe mishe yake kulipiza kisasi
Mkuu una kosea sana sijawahi kuwa member Expert before mimi ni mgeni sana tu so sio mbaya kama utaleta ushaidi wa kufukua makaburi itapendeza sanaDuhhh....
Mkuu, ukifungua roho na ukachangamsha macho na kisha ukaunganisha na dot's utamjua kiulaini.....
Hii njema ni kongwe sana humu jamvini, na anapendelea jukwaa flani lenye ubishani ulio tukuka.... tehteehhh
Mkuu umesoma chekechea na primary ukamaliza, ukasoma secondary ukamaliza pengine ata chuo au college yoyote ya kusaka maisha umepitia,ata pita pita zako na mengine mengi, hko kwote hukuwaona mpk uje humu? Tuanzie hapo.
Njoo Pm mkuuMkuu umesoma chekechea na primary ukamaliza, ukasoma secondary ukamaliza pengine ata chuo au college yoyote ya kusaka maisha umepitia,ata pita pita zako na mengine mengi, hko kwote hukuwaona mpk uje humu? Tuanzie hapo.