Chambichambi
Senior Member
- May 23, 2022
- 139
- 229
Why asitoke Lindi tuanzie hapo kwanzaNatafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe amezaa
2. Umri miaka kuanzia 25-32
3. Awe anasali dini yeyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi
4. Kabila lolote isipokuwa Kutoka Lindi
5. Umbo: asiwe kapigwa pasi sana
6. Awe na tabia njema
7. Elimu kuanzia kidato cha nne.
SIFA ZANGU
1. Nina miaka 27
2. Mweusi
Kama yupo tayari tuwasiliane dm
Mkuu hebu dadavua vizuri ili dada zetu waweze kukuelewa, kwa nini hasa watu wa Lindi umewapiga block😄😄😄Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe amezaa
2. Umri miaka kuanzia 25-32
3. Awe anasali dini yeyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi
4. Kabila lolote isipokuwa Kutoka Lindi
5. Umbo: asiwe kapigwa pasi sana
6. Awe na tabia njema
7. Elimu kuanzia kidato cha nne.
SIFA ZANGU
1. Nina miaka 27
2. Mweusi
Kama yupo tayari tuwasiliane dm
Hahaaaaa!Kwahiyo sifa zako ni hizo mbili tu?
Hebu weka sifa za maana achana na hizo.
Afu ye mwenyewe hajataja kabila lake.....Hicho kigezo namba 4 imekuwaje? Yani mzaramo leo ana cv kuliko mtu wa Lindi?
NdioooMtoto mwisho mmoja tu???
Ana miaka mingapi?Uko tayari kujibariki anaekuzidi miaka
Nna ndugu yangu ana sifa hizo, shida ana mapacha au mmoja amuache kwa bibi akeNdiooo