Natafuta mke mwenye mtoto

Natafuta mke mwenye mtoto

Status
Not open for further replies.

Chambichambi

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
139
Reaction score
229
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe amezaa
2. Umri miaka kuanzia 25-32
3. Awe anasali dini yeyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi
4. Kabila lolote isipokuwa Kutoka Lindi
5. Umbo: asiwe kapigwa pasi sana
6. Awe na tabia njema
7. Elimu kuanzia kidato cha nne.

SIFA ZANGU
1. Nina miaka 27
2. Mweusi
3. Degree holder
4. Naishi kanda ya ziwa, mkoa wa Mwanza
5. Bado sijatoboa kimaisha
6. Mwanifu ktk mahusiano na hata nyanja zingine za maisha
7. Dini: Mkristo

Kama yupo tayari tuwasiliane dm
 
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe amezaa
2. Umri miaka kuanzia 25-32
3. Awe anasali dini yeyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi
4. Kabila lolote isipokuwa Kutoka Lindi
5. Umbo: asiwe kapigwa pasi sana
6. Awe na tabia njema
7. Elimu kuanzia kidato cha nne.

SIFA ZANGU
1. Nina miaka 27
2. Mweusi

Kama yupo tayari tuwasiliane dm
Why asitoke Lindi tuanzie hapo kwanza
 
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe amezaa
2. Umri miaka kuanzia 25-32
3. Awe anasali dini yeyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi
4. Kabila lolote isipokuwa Kutoka Lindi
5. Umbo: asiwe kapigwa pasi sana
6. Awe na tabia njema
7. Elimu kuanzia kidato cha nne.

SIFA ZANGU
1. Nina miaka 27
2. Mweusi

Kama yupo tayari tuwasiliane dm
Mkuu hebu dadavua vizuri ili dada zetu waweze kukuelewa, kwa nini hasa watu wa Lindi umewapiga block😄😄😄
 
lindi kunani jamani? mtaka mke sema kidogo juu ya lindi ili wengine tujifunze😀😀😀
 
Naongezea sifa zangu.

Bachelor degree holder
Mchristo
Ñipo kanda ya ziwa mkoa wa mwanza
Mwaminifu ktk mahusiano
Maisha bado natafuta
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom