Natafuta mke mwenye sifa hii muhimu

Natafuta mke mwenye sifa hii muhimu

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Umri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
 
Attachments

  • plauirrigation.png
    plauirrigation.png
    521 KB · Views: 3
Umri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
Huna dada mwenye uzoefu huo au dada zako elimu ya kidato cha nne hawana? Kwa kua charity huanzia nyumbani oa dada yako
 
Back
Top Bottom