Natafuta mke mwenye sifa hii muhimu

Natafuta mke mwenye sifa hii muhimu

Umri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
Huyo mwanamke ana smartphone na access ya jf?, wengi wa aina hiyo walikuwa ma lecturer SUA nenda huko labda, ila ondoa mentality za kusaidiwa kazi unapowaza kuoa inatakiwa kujua unaongeza majukumu kulima sio kazi ya mwanamke kwa asili ilitokea tu accidentally, mwanamke mzuri ni yule goal kaipa
 
Back
Top Bottom