Natafuta mke mwenye vigezo hivi

[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
25 akulelee watoto wako? Anzia angalau 30 mkuu 25 ndo kwanzaa anaanza kuujua utamu ambao ww ulishamaliza na watoto ukapata atakusumbua au mtasumbuana tafuta walimu wapo kibao na kwa kulea watoto wako vzr!!
Haswaaa atafute wanaokalibiana umri ,kuanzia umri huo damu ndo kwanza inachemka afu mwingine hajawai kuzaa afu yeye anataka watoto wawili tu wa kuongeza mmmmh apo shida labda umpate ambaye alishaolewa akaachwa km wew ulivyooa ukaacha. Hapo mtaelewana
 
Bado hujapata mke mpk leo?
 
Elewa mada ndugu.Mwanamke niliyemzalisha watoto hao ni mmoja.Alichoshwa na mimi kutumia muda mwingi masomoni!!!!
Kwa sasa utakuwa umerudi nchini.... mnaweza kuyajenga na kurudiana tena.... Litakuwa ni jambo la heri...!!!
 
Kwa sasa utakuwa umerudi nchini.... mnaweza kuyajenga na kurudiana tena.... Litakuwa ni jambo la heri...!!!
NAOMBA NISIJIBU HII HOJA YAKO KWA KUWA HUELEWI KIINI CHA TATIZO!! MWANAMKE HUWA ANATAMANI NDOA KABLA HAJAIPATA, AKIISHAOLEWA THAMANI YA NDOA HUSHUKA!! HII NI KULINGANA NA YALIYONIPATA PAMOJA NA UCHUNGUZI WANGU USIO RASMI!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…