Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Tuwasiliane basi kama bado hujampata
Fuata maelekezo niliyoyatoa!!!Maana wote walionipm nimewasiliana nao hata simu nimewapigia,sema misimamo yao ndiyo mikali sana!Unakuta mwanamke anakujibu kuwa ukishamuoa sasa kazi itakuwaje?Miradi yake je?KIUTU UZIMA UNAPOINGIA KWENYE NDOA KUNA HASARA INABIDI MZIKUBALI KAMA FAMILIA MPYA!!!!!!
 
Mmmmmmh
 
wewe acha kutuzingua hao watoto ungekuwa unawapenda usingefikiria kuwatafutia mama wa kambo wakati mama yao wa kuwazaa yupo.
Kama ungekuwa ulishawahi kuwa na familia tungeongea ki utu uzima!!!Lakini kwa comment yako hiyo ngoja nikusubirie ukue kimawazo na kifkra!!!
 
Mkuu maybe ungekuw specific pale mwanzo kabisa kwenye post yako useme unataka wa mikoa gani ili usipate hiyo taabu, au hivyo vigezo vya lazima awe tayari kukufuata iwepo pale mwanzo kabisa.
 
Mkuu maybe ungekuw specific pale mwanzo kabisa kwenye post yako useme unataka wa mikoa gani ili usipate hiyo taabu, au hivyo vigezo vya lazima awe tayari kukufuata iwepo pale mwanzo kabisa.
Mimi niweke wazi ninafanyakazi ambayo siwezi kuhama na ni ya kudumu.Hivyo mke wangu lazima awe tayari kunifuata.Mke wangu wa zamani aliingia kwenye matatizo baada ya kuwa anaishi mbali na mimi kisa kazi.Jamani hizi kazi zinazotenganisha wenzi zinachangia sana kuzivunja ndoa badala ya kuziimarisha!!Umeniuliza mke atoke mkoa gani,ni ngumu kubashiri.Mimi sioi mkoa ila mtu.Anaweza akawa wa asili ya arusha,Mwanza,Kigoma,Tabora,au Zanzibar lakini ukamkuta anaishi Mbeya kama mimi.Kwa hiyo mkoa hauna maana isipokuwa makubaliano.
 
Niliposema atoke mkoa gani sikumaanisha asili, bali wewe ungesema uko wapi ili hao wa around unaowataka iwe rahisi kukutafuta, maana umedai wanaokutafuta wengi ni wa pwani.
 
Niliposema atoke mkoa gani sikumaanisha asili, bali wewe ungesema uko wapi ili hao wa around unaowataka iwe rahisi kukutafuta, maana umedai wanaokutafuta wengi ni wa pwani.
Em niombee huko
Unaishi Mbeya?
 
Tafuta walioachika pia wakawa na watoto, hapo ndo mtapatana Lakini binti then we unamiaka 40!!!!
 
Tafuta walioachika pia wakawa na watoto, hapo ndo mtapatana Lakini binti then we unamiaka 40!!!!
Hao unaosema walioachika,wengi wanadai wana shughuli zao huko wanakoishi hivyo ni ngumu kuziacha na kuja kuanzisha shughuli mpya huku niliko.
 
Huyo mwanamke ulimuoa rasmi au ulikuwa unamzukia? waweza pata mtu hafu huyo akaweka pingamizi la kupokonywa mme
 
Tafuta walioachika pia wakawa na watoto, hapo ndo mtapatana Lakini binti then we unamiaka 40!!!!
Pia kumbuka nahitaji mke wa kuanzia miaka 25 hadi chini ya 34.Huyo siyo binti kama unavyodai!!!!
 
Hao unaosema walioachika,wengi wanadai wana shughuli zao huko wanakoishi hivyo ni ngumu kuziacha na kuja kuanzisha shughuli mpya huku niliko.
Tanzania nzima wanashughuli zao wanakoishi!! Kwani we Unaishi nchi gan!?

Then mbona unataka wa umri mdogo?!
 
Dah... Lakini umemaliza sasa....kwanini usimwite mkaendeleza pale mlipoishia? [emoji13] [emoji13]
Khaaaaaa.. Mbona anaekeweka mkuu. Msimchoshe, mkuu relux utapata na mungu mshirikishe sana.
 
Huyo mwanamke ulimuoa rasmi au ulikuwa unamzukia? waweza pata mtu hafu huyo akaweka pingamizi la kupokonywa mme
Nilifunga ndoa.Lakini hadi ninafanya hivi kama mtu mzima naomba unielewe!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…