ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
- Thread starter
- #181
ACHA MASIHALA!!!Nimekupm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACHA MASIHALA!!!Nimekupm
masomoni hadi 40yrs!!! teacher uko vizuri kweli.Mimi ni mwalimu.Nadhani nimejifafanua sana.Tafadhalini ninatafuta hasa akina mama ambao bado wako single.
Labda niongeze na sifa hii moja kwa mke mtarajiwa wangu kuwa ningependa hata kama anafanya kazi zisiwe zile za mikataba ya kudumu hasa mbali na eneo nililopo.Mimi siwezi kuishi mbali na mke kwa kigezo cha kazi.Babu yangu alishaniusia kuwa kuishi mbali kwa wenza wa ndoa ni kumpa nafasi shetani afanye mambo yake!Naliweka wazi hili kwa sababu akina dada wote ninaopata wanadai kuwa kuolewa wako tayari ila pia wataishi mbali na mume kwa kigezo cha kazi!!!HUO NDIYO MTIHANI!!!!
Ni-pm tuongee vizuri!Mimi niko muwazi.TATIZO,UONGO UMEKITHIRI KWA WATU WA JINSIA ILE NINAYOTAFUTA!MTU ANAONA KULIKO ASEME UKWELI BORA UONGO ILI AKUBALIWE ANACHOTAKA!!!Kwani wewe uko mkoa gani
Soma vizuri,post na uielewe!!masomoni hadi 40yrs!!! teacher uko vizuri kweli.
BADO NAENDELEA KUSISITIZA KUWA BAADA YA KUKUBALIANA MTU AWE TAYARI KUONANA NAMI TUPANGE MAMBO MAZITO YANAYOFUATA TUKIWA KWENYE KAKAO CHA ANA KWA ANA!!!NA SI VINGINEVYO!!!Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
Ni-pm tuongee mambo ya kiutu uzima!!vigezo vyote ninavo tatizo umbile cyo la kiutuuzima mkuu nije au ndo bac tena
sikuingia huku jamani ulishapata?Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
KARIBU UNIPM, TUONGEE VIZURI!!!Nipo kamili kama vigezo vilivyohitajika
poa poaNi-pm tuongee mambo ya kiutu uzima!!
Habari za masiku mama,kwakweli hata nami niliwahamu sana maana nilisahau password na majukumu mengi ya kifamilia nikawa naingi humu kwa nadra sana nawasoma tu taratibu we na mama yako @atoto
Oooh shukrani sana kipenzi. Uendelee kuwepo maHabari za masiku mama,kwakweli hata nami niliwahamu sana maana nilisahau password na majukumu mengi ya kifamilia nikawa naingi humu kwa nadra sana nawasoma tu taratibu we na mama yako @atoto
KAKA KUWA MWANGALIFU,MAANA WANAWAKE WA HUMU JF,NI WACHACHE SANA NI WA KWELI!WENGI LAZIMA WATAKUAMBIA UONGO!USHAURI WANGU KAMA KWELI UTAMPATA,FANYA HARAKA MUONANE USO KWA USO.PIA WAKO WANAUME WANATABIA YA KUJIFANYA WANAWAKE WASIJE NAO WAKAKUPOTEZEA MUDA!UWE MWANGALIFU PIA KUNA WAKE WA WATU WASIO WAAMINIFU NAO WANAWEZA KUJIFANYA WANATAFUTA MUME.KIUFUPI UWE MWANGALIFU SANA!!!Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
[emoji28] kila MTU asaidie wa mwenzie au sioYupo hapa jirani lakini nae ana watoto wawili, vipi nikupe namba?
if ur serious Mama pambana......kitaeleweka Mungu wetu sote[emoji120]Acha kuweka mchanga kwenye vitumbua vya wanzako, nilipoamka asubuhi hii sikutemea kama nitapata fursa ya kinyang'anyira cha kuwa mke wa mtu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MkekaaSasa mchumba si ushampata huyo hapo juu? Au ni ndoa ya mitala hii
[emoji134] [emoji134] [emoji134]