Natafuta mke wa kula naye uzee

Natafuta mke wa kula naye uzee

Retired since January ..

ustaafu January( 5mill hapa nikuspend for no reason) + majanga ya corona (5mill) + watoto sita (6mill hapa baba baba nyingi utazisikia) +madeni yako & na mengineyo (4mill) + ku repair nyumba uliyokuwa unaishi (3mill nmea assume ulikuwa umejenga) =total 23 mill

remaining balance inatakiwa uwe na 30-40 mill ndio useme unatafuta unachokitafuta. Chini ya hapo ni unazidi kuiongezea dunia matatizo
 
Nani akulee na uzee huo..!!! Pambana tu mwenyewe
 
Natafuta mke wa kula nae uzee mwenye sifa hizi awe na umri miaka35-47, awe mkiristo, ambae hazai awe tayari kunilea
Wasifu wangu Nina miaka 64 Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5 Mimi ni mgane retired since 2020 January pia ni mjasilia Mali na mkulima wa vitunguu mpunga na mfugaji wa kuku na nguluwe Niko tayari kukuhudumia na kukupenda kwa moyo karibu chaguo langu njoo inbox
Mbombo ngafu
 
Jikite na huduma za kanisa/msikiti au huduma za kijamii unaweza kuwa na furaha zaidi ya kulelewa na mwanamke.
 
Kaka mkubwa hapo huna haja ya kutoa tangazo humu wewe tafuta gari kali pamba za kiutu uzima mjengo unaoeleweka mbona watakuja wao wenyewe hata below 30.
 
Back
Top Bottom